Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Tulionywa hatukutaka kusikia sasa yanatimia, mliambiwa wakimaliza kudeal na wapinzani watadeal na nyie mmoja baada ya mwingine. Polisi wameshafika nyumbani kwa Idriss kufanya upekuzi na kuchukua nyaraka wanazohisi zitasaidia kutimiza kile walichokikusudia ili wamfungulie mashtaka aswekwe ndani.

Ni baada tu ya kuedit picha ya raisi JPM siku ya sherehe yake ya kuzaliwa. Kosa analokusudiwa kupelekwa nalo mahakamani ni Uhujumu Uchumi kupitia kazi zake anazofanya. Mungu aibariki Tanzania na atunusuru kwa yatakayoweza kutokea zaidi ya haya.
 
Tulionywa hatukutaka kusikia sasa yanatimia,mliambiwa wakimaliza kudeal na wapinzani watadeal na nyie mmoja baada ya mwingine.Polisi wameshafika nyumbani kwa Idriss kufanya upekuzi na kuchukua nyaraka wanazohisi zitasaidia kutimiza kile walichokikusudia ili wamfungulie mashtaka aswekwe ndani.Ni baada tu ya kuedi picha ya raisi JPM siku ya sherehe yake ya kuzaliwa.Kosa analokusudiwa kupelekwa nalo mahakamani ni Uhujumu Uchumi kupitia kazi zake anazofanya.Mungu aibariki Tanzania na atunusuru kwa yatakayoweza kutokea zaidi ya haya.
ML - ataongea na DPP watayamaliza.
 
Acha uongo wewe.
 
Halafu wanasema eti huyu kichaa kaletwa na mungu, hakuna mungu anaependa uungu mtu,udikteta wauaji, kuna siku watakufa vifo vibaya kuliko maumivu ya lisu, agwanda na mawazo na saa nane mbwa hawa.
 
Kwa hiyo president akitania wenzie sawa ila akitaniwa yeye anamaindi.
 
Tulionywa hatukutaka kusikia sasa yanatimia, mliambiwa wakimaliza kudeal na wapinzani watadeal na nyie mmoja baada ya mwingine. Polisi wameshafika nyumbani kwa Idriss kufanya upekuzi na kuchukua nyaraka wanazohisi zitasaidia kutimiza kile walichokikusudia ili wamfungulie mashtaka aswekwe ndani.

Ni baada tu ya kuedit picha ya raisi JPM siku ya sherehe yake ya kuzaliwa. Kosa analokusudiwa kupelekwa nalo mahakamani ni Uhujumu Uchumi kupitia kazi zake anazofanya. Mungu aibariki Tanzania na atunusuru kwa yatakayoweza kutokea zaidi ya haya.
kwa upinzani huu?. Bora ufe tu.
 
Hii nchi ya kimaku sana mnatumia mafuta kwenda kumsachi nini kwake?
Kama alishakuja polisi si mngemzuia hapo Polisi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom