Wameenda kumsachi kwake,hope hahusiki na unga maana hapo atakuwa kapatikana kweli kweli.Wanamtafutia kosa. Maana kupublish picha kunahusiana na kwenda kuchunguza nyumbani kwake ?Utasikia wanasema wamemkuta na zigo la bange
Ukishaelewa maana ya "Masanja" hutakuwa na haja yakuuliza kwanini haendi ndani.Mbona Masanja hajaitwa au kwa sababu anamsifiaga, au amwite hivyo Kipanya ambae ni mtoto wa mjini sidhan kama KP angeenda. Kijana amekuja mjini juzi lakini amemkuta idris anafanya comed lakin amekua tishio kuliko hata wale wazee wazaramo wa ilala
Taratibu mrembo!Magufuli ni chaguo la mungu, " alisikika Petro E. Mselewa Akisema
Bado kusikia BBC World Service tu.
Zamani kulikuwa na sehemu ya gazeti la Mfanyakazi(sijui kama mpaka sasa gazeti la Mfanyakazi lipo, na kama lipo hiyo sehemu ipo) , kila Jumamosi sikosi kusoma.
Inaitwa "Amini Usiamini".
Hapo ilikuwa panaandikwa vituko vya dunia vya ajabu ajabu, mara kuna mtu India kala kilo kadhaa za misumari na hajafa, mara kituko hiki, mara kile.
BBC miezi michache hii itakuwa kama wana ki segment cha "Funny News From Tanzania".
Ukianzia matamko ya Magufuli ukaja kwa ya Makonda waliyoyataja, yani inaweza kuwa very entertaining kwa watu fulani.
Wanapata picha fulani hivi Tanzania nchi moja iko nyuma sana kimaendeleo, kuliko hata ukweli wa mambo.
Uhujumu uchumi na kutakatisha pesa
Haya wamuhoji halafu wamfikishe mahakamani kwa kosa lipi ? Hawa wamekosa kazi tu.
Atashitakiwa kwa kosa la kutakatisha picha ya rais.