Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Fake news!
Eti?
Screenshot_20191031-181755.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: MTK
BBC Swahili wameshamrusha huko kwenye Instagram page yao!
Bado kusikia BBC World Service tu.

Zamani kulikuwa na sehemu ya gazeti la Mfanyakazi(sijui kama mpaka sasa gazeti la Mfanyakazi lipo, na kama lipo hiyo sehemu ipo) , kila Jumamosi sikosi kusoma.

Inaitwa "Amini Usiamini".

Hapo ilikuwa panaandikwa vituko vya dunia vya ajabu ajabu, mara kuna mtu India kala kilo kadhaa za misumari na hajafa, mara kituko hiki, mara kile.

BBC miezi michache hii itakuwa kama wana ki segment cha "Funny News From Tanzania".

Ukianzia matamko ya Magufuli ukaja kwa ya Makonda waliyoyataja, yani inaweza kuwa very entertaining kwa watu fulani.

Wanapata picha fulani hivi Tanzania nchi moja iko nyuma sana kimaendeleo, kuliko hata ukweli wa mambo.
 
He he! Hi taarifa inauhakika gani..?
 
Tulionywa hatukutaka kusikia sasa yanatimia, mliambiwa wakimaliza kudeal na wapinzani watadeal na nyie mmoja baada ya mwingine. Polisi wameshafika nyumbani kwa Idriss kufanya upekuzi na kuchukua nyaraka wanazohisi zitasaidia kutimiza kile walichokikusudia ili wamfungulie mashtaka aswekwe ndani.

Ni baada tu ya kuedit picha ya raisi JPM siku ya sherehe yake ya kuzaliwa. Kosa analokusudiwa kupelekwa nalo mahakamani ni Uhujumu Uchumi kupitia kazi zake anazofanya. Mungu aibariki Tanzania na atunusuru kwa yatakayoweza kutokea zaidi ya haya.
Kweli Bashite ni witch doctor wa Jiwe. Hawez kujimwambafay kias hichi
 
If you ask me don't see any problem with what Idris did as he was celebrating the birthday of the most high in Tz. However this should be taken as a lesson to the praising team, the same may happen to them as long as Bashite lives.
 
Tulionywa hatukutaka kusikia sasa yanatimia, mliambiwa wakimaliza kudeal na wapinzani watadeal na nyie mmoja baada ya mwingine. Polisi wameshafika nyumbani kwa Idriss kufanya upekuzi na kuchukua nyaraka wanazohisi zitasaidia kutimiza kile walichokikusudia ili wamfungulie mashtaka aswekwe ndani.

Ni baada tu ya kuedit picha ya raisi JPM siku ya sherehe yake ya kuzaliwa. Kosa analokusudiwa kupelekwa nalo mahakamani ni Uhujumu Uchumi kupitia kazi zake anazofanya. Mungu aibariki Tanzania na atunusuru kwa yatakayoweza kutokea zaidi ya haya.
Wakati huo huo kigwangwala akalia kuti kavu , kuvuliwa uwaziri .
 
Gwangalaaaaa ahadi na nadhiri!! Agiza wakili kibatala fasta aende central , halfu Magu aamue makonda au we we! Mkumbuke nape! Msimchanganye Magu!
 
Back
Top Bottom