Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Ukute IDRISS ana hiki kitu nyumbani kwake
EH9Hfq1X4AEdnYO.jpg
 
Huyu utasikia kapewa kesi ya uhujumu uchumi..nina hakika kwa asilimia 500 siku Mh rais akimaliza muda wake na akaingia rais anayefuata sheria makonda hii nchi ataiona chungu.
 
JIWE & BASHITE wanatumia nguvu kubwa sana kupambana na wakosoaji
Idris sikuwahi mfuatilia lakini sasa nimeingia tweet yake, kumbe naye ni "wistleblower" ndio maana JIWE kaagiza awekewe ndani.

#WeStandWithIdis
 
Alafu RC akishaharibugi lazima akimbilie kwa millard ayo atafute huruma ya wananchi jana ameenda kumuokoteza sijui nani aonyeshe anampa hela kwa ajili ya bima ya afya ya watoto. Punguan mkubwa
 
Back
Top Bottom