Wewe bibi unajua kazi za polisi na ukamataji?Wameenda kumsachi kwake,hope hahusiki na unga maana hapo atakuwa kapatikana kweli kweli.Wanamtafutia kosa. Maana kupublish picha kunahusiana na kwenda kuchunguza nyumbani kwake ?
Sasa kama Idris wamemshitaki kwa picha tuu hiyu si Makonda angemyonga kabisa kama angekuwa anaishi Dar?
Duh! hii kaliWatampa kesi ya uhujumu uchumi
Duh! hii kaliWatampa kesi ya uhujumu uchumi
Eti na wameenda kumsachi nyumbani kwake ...Kwa kifupi ni kwamba mchekeshaji aitwaye Idris amejisalimisha Central police jijini Dsm kama alivyoagizwa na RC Makonda.
Idrisa atafikishwa mahakamani kwa makosa ya kujifananisha na Rais Magufuli na kusema uwongo kinyume cha katiba.
Source: BBC Dira ya Dunia!
Haji ile ilikuwa kiki kakaKigwangala njoo huku fastaaaaa
Utakatishaji pesa za Big BrotherHaya wamuhoji halafu wamfikishe mahakamani kwa kosa lipi ? Hawa wamekosa kazi tu.
Kuchafusisha picha ya rais na nembo.Atashitakiwa kwa kosa la kutakatisha picha ya rais.
Trump anapenda sana Twitter hata akinywa chai tu anatweetNaona watu wana "Trumplise" bila ya kutumia akili.
Ile akaunti ya Trump anayoitumia ku "hire & fire" inajulikana officially.
Baba Keagan ni "official account" ya kiongozi gani huko Tanzania!!?
Kamuulize babu yako.Wewe bibi unajua kazi za polisi na ukamataji?
Hahahahhaaaaaaa ongeza volume kakaHamisi madegree!