Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,724
- 3,834
nakutengenezea mazingira upate uteuziTaratibu mrembo!
nakutengenezea mazingira upate uteuziTaratibu mrembo!
Idiot kbs hawa!!Watu wakikosa kazi mjini basi ni kusumbuana
Wengine wanamuita "chuma". Sijui ni chakavu? nao wakamatwe basi.Nashauri na yule aliyemuimba Rais eti "jembe kutoka Chato" naye aitwe kuhojiwa! Yaani Rais wetu mpendwa unamuita "jembe"?! Ni kudhalilisha kiti cha Rais.
Ukifuatilia tweets za idris kuna kitu bashite hakipendiBashite sijui ni kisirani au nini
Hama mkuu uende kwa mabeberu!Aisee Tanzania imebadilika kuwa nchi hatari kuishi ndani ya kipindi kifupi sana
Ndiyo mtu mwenye nguvu tz akitoka #1 yeyeBashite sijui ni kisirani au nini
Na hao wote hakuna Wa kumwambia kituInauma sana. Inasikitisha sana taasisi kubwa kama ya Rais ina mtu mmoja nje ya hiyo taasisi anaweza Sema neno na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikasimama.
Kweli Taifa limefika hapa? Basi Sawa tunamshukuru Mungu.
Ile kichwa hua iko dakika 2 mbele.
Sijui huo U-daktari aliupataje.
Kasome sheria ya mtandao mnafanya tu mambo bila kuzingatia sheria. Mnafikiri kwenye mitandao unaweza fanya lolote!Anakamatwa kwa kuedit picha ya rais halafu atashtakiwa kwa uhujumu uchumi
Daaah kila mtu Hapa ana kosa la jinai
Ukiwazingua wakikudaka wanakusachi hati boxer yako kama ulinunua bila lisiti kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu
Tumefika sehemu mbaya kama Taifa wapumbavu ndio wanaotungoza
Mi naamini Rais Magufuli ni mtu mzuri tu ila hivi vijitu vinavyomzunguka ndivyo vinafanya Rais wetu aonekane mbaya .
Mhe.Rais bashite anakuyeyusha Sana
Thubutu yke hana jeuri ya kupambana nayeKhamis Kingwagala yupo wapi amuokoe huyu comedian kama alivyoahidi?
1+1=2Hiyo petroli wanayotumia polisi kwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Idris bora wangefanyia doria kuzuia magendo.