Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Maraaaaa Kuna mashadaaa hewaniii
Maraa paap akapimweee nkjoooo....

Ova
 
Inauma sana. Inasikitisha sana taasisi kubwa kama ya Rais ina mtu mmoja nje ya hiyo taasisi anaweza Sema neno na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikasimama.

Kweli Taifa limefika hapa? Basi Sawa tunamshukuru Mungu.
 
Unafikiri kuna mtu atajaribu kushangilia au chekesha ktk siku ya Rais?

Kijana mwenzetu ndio analeta uchungu kwa vijana hapendi kuona watu wanfurahi anachuki nakuifanya anampenda Mungu kumbe moyoni anafundo lahatari

Kweli Idrisa atashughulikiwa ila siku hazigandi Mungu ataingilia kati hili na dunia nzima itakushangaa.
 
Inauma sana. Inasikitisha sana taasisi kubwa kama ya Rais ina mtu mmoja nje ya hiyo taasisi anaweza Sema neno na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikasimama.

Kweli Taifa limefika hapa? Basi Sawa tunamshukuru Mungu.
Tuendelee na nyimbo za Tenzi, kujimwambafy kunamwisho, lugha zitaeleweka tu.
Wao ndio wafalme na malkia
 
Back
Top Bottom