TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Takwimu rasmi zinapatikana National Bureau of Statistics. ( yani hata kwa akili ndogo ambayo haijawa brainwashed (Kama hata hiyo ndogo bado unayo) unaamini kwamba tz ina fire proof ya ugonjwa huu? Au unaamini katika sera za kufukuza ugonjwa kwa maombi? Au ndo hupo kwenye lile kundi la kiusifu na kuabudu. ? Kijana fungua macho na akili au Ndio mzugo umekolea.?
Mosi, Leta hapa hizo takwimu
Pili, Sijasema Tanzania haina maradhi
Tatu, Nikwambie tu sikatai Corona haipo lakini uwepo wake ni wa mashaka, kila anayesema kuna corona ukimuuliza imemuua nani anajibu amesikia fulani kafa na corona hasa wale Maarufu lakini huku mitaani, nyumbani kwake, kwenye ukoo wake hana uthibitisho wa kuuguliwa ama kufiwa na ndugu rafiki au jamaa kwa corona

Shida ni kwamba mnazungumza utafikiri ni gonjwa hatari mno, ukweli ni kwamba hata kama ipo sio tishio la kutufanya tuishi roho juu juu na kuanza kufungiana ndani
 
Nadhani hauko sawa.
 
R.I.P, sijui ukifa nini huwa kinaendelea daaa.
 
Kuna interview yake moja nimeiskia anasema ye ni mhandisi wa mifumo ya tehama na kuna mdau anasema jamaa alisoma IT pale IFM, bado sijaelewa uhandisi wake ni wa kitu gani.
r.i.p CP
 
Back
Top Bottom