sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Ndio hivyo Dunia tunapita.Jana nilikuwa nime-tunein to clouds fm bongo fleva na ngoma yake ya sexy lady ilipigwa nikamkumbuka huyu jamaa..leo naona taarifa hii..Daah RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo Dunia tunapita.Jana nilikuwa nime-tunein to clouds fm bongo fleva na ngoma yake ya sexy lady ilipigwa nikamkumbuka huyu jamaa..leo naona taarifa hii..Daah RIP
Kufa ni dakika tu ndugu ila mtu kuzaliwa ni mchakato unaochukua muda kidogoDah what happened to this super talented guy?
Hakujawahi kua na upungufu wa waalimu wa IT UDSM
Kila best professor in this country,their target college to get employed first ni UDSM na sio IFM
Get that clear
1.7 zilizowahi kufika IFM,ni zile zilizochanganyikiwaga Form 6 au zilizodisco UDSM or somewhere else!
Thats the fact
Hutaki,andamana!
I can understand umesoma IFM,lazima uitete kupita maelezo....of which I understand fully!
[emoji849][emoji849]Halafu cha ajabu kina Ricardo momo bado wapo
Alitisha sana kwakweli.Hii ngoma acha kabisa .. humu Ms Trinity ndio alidhihirisha kwamba wasanii wa mbele na bongo level zao Ni tofauti kabisa ... Mwanadada alijua kupita humu ile mbaya
Huna muda utapewa banWewe mistari michache pumba kibaooo!
IfmKwa mara nyingine tena nakuambia wewe utakuwa mshamba sana au bado dogo sana hivi vitu huvijui...nimemaliza hapo hapo ud, walimu wa it walikuwa wanatoka department ya mathematics na statistics, kuna kipindi ilibidi wakasome nje ili wawe brushed-up in IT hence uhaba ulianzia hapo...watu wakawa wanakimbilia huko IFM, NIIT n.k...unaongelea UD kama Havard...haya tuachane na IT, mtu wa point 7 akitaka kusoma mambo ya 'Bima' ataenda wapi? Ud?
AminaKufa ni dakika tu ndugu ila mtu kuzaliwa ni mchakato unaochukua muda kidogo
Apumzike anapostahili..
PwaaaaaaDuh, Pumziko La Amani Apate Mwamba.
Nakumbuka ni Wasanii wa muda tu, kuna ngoma yake moja kuna mstari unasema "ndani ya daladala naachia kitu like....."
Nasikia jina la CP alipewa akiwa O lever na lilikuwa na maana ya mtu muhimu sasa sijui C ni kifupi cha nn but P nahisi ni person hv...Ni kweli alikuwa mtaalamu wa computer..pia alipata one ya 7 form four
Kama wa mwaka 2000 ngumu kufahamu lolote juu yake......Nilikuwa simjui kabisa, rip
acha bhange dogoUmeondoka ghafla ghafla like pwaaah!