TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Hakujawahi kua na upungufu wa waalimu wa IT UDSM

Kila best professor in this country,their target college to get employed first ni UDSM na sio IFM

Get that clear

1.7 zilizowahi kufika IFM,ni zile zilizochanganyikiwaga Form 6 au zilizodisco UDSM or somewhere else!

Thats the fact

Hutaki,andamana!

I can understand umesoma IFM,lazima uitete kupita maelezo....of which I understand fully!

Kwa mara nyingine tena nakuambia wewe utakuwa mshamba sana au bado dogo sana hivi vitu huvijui...nimemaliza hapo hapo ud, walimu wa it walikuwa wanatoka department ya mathematics na statistics, kuna kipindi ilibidi wakasome nje ili wawe brushed-up in IT hence uhaba ulianzia hapo...watu wakawa wanakimbilia huko IFM, NIIT n.k...unaongelea UD kama Havard...haya tuachane na IT, mtu wa point 7 akitaka kusoma mambo ya 'Bima' ataenda wapi? Ud?
 
Hii ngoma acha kabisa .. humu Ms Trinity ndio alidhihirisha kwamba wasanii wa mbele na bongo level zao Ni tofauti kabisa ... Mwanadada alijua kupita humu ile mbaya
Alitisha sana kwakweli.
 
Pumzika kwa amani CP ukiwa na Sumalee mliitambulisha sana Parklane. Nakumbuka sana nyimbo kama "nafasi nyingine" "Aisha Aisha" mpaka leo zikipigwa hazijachuja.
 
Kwa mara nyingine tena nakuambia wewe utakuwa mshamba sana au bado dogo sana hivi vitu huvijui...nimemaliza hapo hapo ud, walimu wa it walikuwa wanatoka department ya mathematics na statistics, kuna kipindi ilibidi wakasome nje ili wawe brushed-up in IT hence uhaba ulianzia hapo...watu wakawa wanakimbilia huko IFM, NIIT n.k...unaongelea UD kama Havard...haya tuachane na IT, mtu wa point 7 akitaka kusoma mambo ya 'Bima' ataenda wapi? Ud?
Ifm
 
changamoto ya upumuaji bila shaka, wakuu tuwe na tahadhari N'DUDU bado yupo...
 
Back
Top Bottom