TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mkuu haya maneno makali sana.
Kama unavyoona mood ni ya maombolezo. Wa2 wana reflect life ya nigga.
Respect, at least for the departed.
Wana reflect life ya nigga?

Educational background sio life ya nigga?

Ukiishi in public utakufa in public, msiba utaanikwa JF, utaombolezwa in public

Comes with the package
 
mkuu samahani ila una akili mgando sana, unajua kuna watu wanachaguliwaga kwenda udsm au udom ila wanaenda vyuo vidogo ?
huenda jamaa alienda IFM kwa mapenzi
Nilifaulu vizuri, nikaenda chuo chepesi kuna kipindi flani ili kupunguza stress na sikuta shule za kukomoana, nilichukulia sehemu chuo kama sehemu ya kupumzisha akili kipidni ramani mtaani hazisomi.. ila shida wabongo akili zetu nzito sana kwenye haya mambo
 
Yote kwa yote uwezo wa akili/kukariri si vizuri sana kuupima kwa matokeo ya mitihani, kuna mtu aliniambia matokeo hutegemea hali ya mtahiniwa siku/kipindi chaa mitihani husika, vyeti ni makaratasi tu

Iwe alitoka na 1.7 ama vipi ila nachojua kwa hakika kabisa jamaa alikuwa kipanga linapokuja suala la Computer/programming

Imagine wakati wake muamko wa kozi hiyo haukuwa viile lakini alikuwa interested na aliijua vilivyo
😢😢😢 dah! Kumbe nimepoteza programmer mwenzangu 😭😭😭😭😭
 
Wana reflect life ya nigga?

Educational background sio life ya nigga?

Ukiishi in public utakufa in public, msiba utaanikwa JF, utaombolezwa in public

Comes with the package
May be you're right. Afterall, its a free world!!
We endelea kukazia the guy was not inherently smart. Mie hapa naendelea kucheza track zake.
 
Hujui hata kujenga hoja kilaza kweli wewe! Unaweza piga one ya 7 form four, six ukaenda fanya vibaya! Kuna mwamba alitoka na one ya 10 O level,six akatoka na 3 mbaya sana!

Msela akapiga remedial class, then akapiga Bachelor,msela aliweka record ya First Class moja hatari sana,akafanya CPA kila module alifanya single sitting,na siku ya Graduation ya NBAA alikua moja ya watu waliofanya vizuri sana,Auditing firm kubwa kubwa hua zinachukua wale vipanga,jamaa nae siku hiyo alikua mmoja wao,sema alitoa akaenda zake PSSSF now yuko ofisi ya Msajiri wa Hazina!
Uko sahihi mkuu
 
IMG-20210117-WA0021.jpg
 
Kwa nini sasa? Point 7 ni mambo ya form 4 huko...halafu kitambo hicho watu waliokuwa wanataka kusoma IT kama cpwaa wengi walikuwa wanaenda IFM au vile vyuo vya wahindi kule posta (e.g Learn IT)... mlimani kulikuwa na uhaba wa walimu wa computer
Walimu wa computer wakosekane mlimani wawepo IFM mkuu kua serious kwa enzi hizo IFM walikua wanasoma wenye ufaulu mdogo au waliokua wakiunga unga..hio Learn IT walikua wanasoma waliofeli kabisa form 4...wamekula Div 4 point 27-30 na kuendelea
 
Hujui hata kujenga hoja kilaza kweli wewe! Unaweza piga one ya 7 form four, six ukaenda fanya vibaya! Kuna mwamba alitoka na one ya 10 O level,six akatoka na 3 mbaya sana!

Msela akapiga remedial class, then akapiga Bachelor,msela aliweka record ya First Class moja hatari sana,akafanya CPA kila module alifanya single sitting,na siku ya Graduation ya NBAA alikua moja ya watu waliofanya vizuri sana,Auditing firm kubwa kubwa hua zinachukua wale vipanga,jamaa nae siku hiyo alikua mmoja wao,sema alitoa akaenda zake PSSSF now yuko ofisi ya Msajiri wa Hazina!

Mzee

SOmetimes uwe serious

Nani kakwambia Department of Mathematics and Statistics ni departments za IT?

Kuna any meaningful IT courses in those departments?

Kwanza sio IT departments,get that into your black ass..

Hujui unaloongea

Hujasoma hapo,aliemaliza pale hasemi "UD" hata siku moja,ni "UDSM"

Wote waopaita "UD" ni some stupid outsiders like you!

Unapoongelea IT taja departments mahususi za IT sio departments za hesabu unaziita eti departments za IT

Shut up nigga,and update your brain up!

Hujui hata kujenga hoja kilaza kweli wewe! Unaweza piga one ya 7 form four, six ukaenda fanya vibaya! Kuna mwamba alitoka na one ya 10 O level,six akatoka na 3 mbaya sana!

Msela akapiga remedial class, then akapiga Bachelor,msela aliweka record ya First Class moja hatari sana,akafanya CPA kila module alifanya single sitting,na siku ya Graduation ya NBAA alikua moja ya watu waliofanya vizuri sana,Auditing firm kubwa kubwa hua zinachukua wale vipanga,jamaa nae siku hiyo alikua mmoja wao,sema alitoa akaenda zake PSSSF now yuko ofisi ya Msajiri wa Hazina!
Point ya msingi ni kwamba huyo mtu wako wa hazina alifaulu 1.10 form 4 akaja kufeli form 6..kwaio point ya jamaa inabaki pale pale hakuna anaefaulu vizuri kwa miaka hio anaenda kusoma IFM kipindi hicho wanatoa Advanced Diploma pia kuwepo kwa huyo mtu wako mmoja hakubadilishi uhalisia kwamba miaka ya nyuma waenda kusoma IFM ni wenye ufaulu mdogo...au wakuunga unga...
 
kamfufue basi umpe hizi habari
 
Hilo halipo

Hakuna aliepata 1.3 Sekondari halafu akaamua kwenda chuo kidogo kwa hiyari yake eti

Stop this nonsense

It is a myth,hakuna huu upumbavu

Alipata 1.3 akapta shida mbalimbali ndio maana mkamkuta huko,hakuna kwa hiyari,labda alifeli pahali

Mtu kapata 1.3 eti achague kwenda Nyerere College Kigamboni,nigga stop these lies!

1.3 kwenda chuo kidogo,huyo mwenye 1.3 kwanza akapimwe akili,anaenda ku under utilise his brain capacity

Achenigi kudanganya watu bwana...

Nikisema mtupatie proof hamna

Aliepata 1.3 akaenda chuo kidogo ni kwamba alidisco vyuo vikubwa ndio akaenda chuo kidogo,thats a fact

Tupe mfano mmoja tufanye debunking hapa!
Acha ujinga ww kwani kusoma UDSM ndio nini? MFANO MM nilipiga O LEVEL one kali Nkaenda Galanos nako nikachimba one kali nkakataa hiyo UDSM na nikaenda Mzumbe.
 
Cpwaa ni nani?, jina lake kamili, anaishi wapi, ni mkongo au mbantu, amefia WAP, kwa ugonjwa gan, taarifa umezipata wapi n.k
Mkongo pia ni Mbantu tena maarufu Africa
 
Back
Top Bottom