TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Acha kujifariji

Waliamua kuacha binafsi yao

Bill Gates alikua ni A+ Harvard student,kaacha makusudi
Mark Zuker alikua Hardvard student,kaacha makusudi
Jobs alikua student wa Stanford
etc etc

Unapojifananisha na hawa magenius unajifariji eti walipata zero unaonesha kiasi gani ulivyo mkichaa

These were super smart kids...kupata admission Harvard au Stanford ni straight As sio F kama unazotaka jifariji nazo

Usifananishe apples with oranges!
wers

Chang Liu

, former Tenured Full Professor at University of Illinois at Urbana-Champaign (1996-2007)
Answered August 12

There are all kinds. Rich just means you found a way to put money into your pocks. Jeff Bezos was a great student, never hiring A- folks. But rich is not reserved for people with good grades.
Many rich people fail badly at school. They are B students, C students, D students, and F students. They got into construction, real estate, buy and run stores, buy and run shopping malls, run restaurants. They are rich, some very happy, some somewhat happy.
Eventually everyone who failed school will catch up. School is just for early bloomers.
Getting rich involves enduring humility. Eventually everyone needs to take a turn.
There are rare rich guys with Ph.D. degrees. A richest guy I ever met, Stan Petersen, lives in an area in San Francisco bay area that Google Map block off so no one knows they live there. He has a Ph.D. degree in EE from Berkeley, quit his super prestigious job at IBM, started sixes companies, everyone an icon of SV. The other day we met, he finally told me how painful it was for him, after he quit his job with new born at home and how his first company failed (but no one knew). He never complained, because he expected that giant sacrifice to end in failure. He is in Northern Cal, and this is the path of rite for anyone. You quit your job, get humiliated, and earn a scar. Then you join the club.
 
Mkuu

Unashindwa kujielewa

Wewe kua na pesa sio kwamba ulipata Hesabu A....

Wao walipata A hesabu,wewe ulipata F,muda umepita...records stands

Wewe leo una hela,yeye hana,ni muda wa sasa,na yeye akihitaji anaweza pata pesa kama wewe

Issue hapa nadhani una chuki na waliokupita darasani

Walikupita,ni historia,ishapita,haifutiki,leo una hela,yeye hana,uzuri anaweza pata kama wewe maana muda ni wa sasa!

Na wewe kua na hela sasa hivi sio kwamba kesho huezi ishiwa,na yeye kutokua na hela leo sio kwamba kesho anaweza asipate....and vice versa

Watu waliofeli shule ni very bitter and stupid people....wanachukulia hela walizonazo sasa hivi ni replacement ya zile sifuri walipata kitu mnachoshindwa kuelewa ni kwamba ni historia ilishapita na sifuri zenu zipo kwenye records..nothing you can do to change that record

Since huwezi futa records,tuongelee ya sasa na yajayo

Wewe kua na vihela leo sio kwamba yeye akiamua karata zake vizuri hawezi pata kesho....

Mimi hua ninaamini kua alienipita akili ni mtu alienipita wakati huo na rightfully so na anaweza kua akili kubwa zaidi yangu mpaka leo,na celebrate his briliance,siwezi kaa hapa eti nachukia alinipitaga na mimi nikapata zero nibebe hadi utu uzimani huku niache kutafuta hela nianze kuwafikiria
Baada ya maandishi yako najuwa personality yako ustaarabu zero mimi sijaongelea lolote baya kwa waliopasi sana mashuleni hoja ni kwamba unaweza kuwa hujafanya vizuri shuleni lakini ukafanya vizuri nje ya shule sio kwamba kwa kuwa ulikuwa wa kwanza basi ndio umemaliza hili ndilo linawaangusha wanafunzi wengi shuleni ndoto nyingi wakija huku nje wanakutana na hali halisi.
 
Mkuu

Unashindwa kujielewa

Wewe kua na pesa sio kwamba ulipata Hesabu A....

Wao walipata A hesabu,wewe ulipata F,muda umepita...records stands

Wewe leo una hela,yeye hana,ni muda wa sasa,na yeye akihitaji anaweza pata pesa kama wewe

Issue hapa nadhani una chuki na waliokupita darasani

Walikupita,ni historia,ishapita,haifutiki,leo una hela,yeye hana,uzuri anaweza pata kama wewe maana muda ni wa sasa!

Na wewe kua na hela sasa hivi sio kwamba kesho huezi ishiwa,na yeye kutokua na hela leo sio kwamba kesho anaweza asipate....and vice versa

Watu waliofeli shule ni very bitter and stupid people....wanachukulia hela walizonazo sasa hivi ni replacement ya zile sifuri walipata kitu mnachoshindwa kuelewa ni kwamba ni historia ilishapita na sifuri zenu zipo kwenye records..nothing you can do to change that record

Since huwezi futa records,tuongelee ya sasa na yajayo
Aisee vipi kuhusu na wale wanaonunua As

Au wale wenye STDs (Sexually Transmitted Degrees)
 
Nakubaliana na hili
Basi hapo yunaenda sawa na kama nimekukwaza na maneno ni my apology. Nia ni kusema juhudi nje ya shule ni muhimu sana sisi elimu yetu ya Tz ni kukariri zaidi hatujengwi kupambana na hali halisi ya kidunia. wenzetu masomo wanayosema leo sisi ni mpaka tech ikiwa imekuwa sana ndio tunaanza kusoma. Miaka ya kina Bill gates wanajuwa mambo ya computer sisi hata kuona ilikuwa bado. anyway elimu ni nzuri sana lakini sio mwisho kuna elimu nje ya shule. Matajiri wengi Tz hata shule wengine hawaijui
 
Mkuu

Dunia hii ni maajabu watu wanaopingana na wewe unawaita "sio wastaarabu"

Thats really funny

Mkuu,mtoto kufaulu shuleni huwezi mm-hold guilty kwa yeye kufaulu zaidi ya wengine

Na wewe kupata pesa hatuwezi kuku-hold guilty kwa kupata pesa zaidi ya wengine

Shida ni nyie kuchukulia kupata hela ni replacement ya yale masifuri uliyopata shule ukiwa unasoma

Halafu nashangaa,waliopata masifuri shule,hua wana chuki na waliokua wanapata A shuleni bila sababu ya msingi

ndio maana wanapopata pesa wanaongea kudhani hela walizona ni equivalent na A aliyoikosaga shuleni

No relation kabisa

Mkuu,aliepata A shule,na wewe uliepata sifuri,mkawa watu wazima wewe ukapata hela zaidi ya aliepata A shule hakuna ,mahusiano yeyote

Na wewe kupata hela haimaanishi yule mwenzako eti akili zake zimepotea sababu tu eti wewe umepata hela

Wewe kupata hela hakukuletei akili ghafla eti utapata ma A ,si kweli,bado utapata masifuri kama zamani,na yule mwenzako atapata A kama zamani

Hakuna relationship popote...

Acheni hizi chuki na false equivalencies mnazojenga
And Thats Just That On That
255654465446_status_dffca7ab7b1d4d7ca68756fd0bc1f783.jpg
 
Wale wanaonunua As nadhani na wewe unaweza kwenda kununua kama zinapatikana kwa kununua

It is nonsense

Ni conspiracies tupu

Maana kama zinapatikana kwa hela,basi kila mtu angekua na hizo As.
Oohh nilijua utakuwa na hoja kwenye hili
Kumbe umepinga kama kawaida yako

Siku hizi elimu inanunuliwa ukubali ukatae
Watu wanahonga mamillion kadhaa ili wao au watoto wao watengenezewe vyeti tena vyenye A

Wengine wanatembea na waalimu ili wapate hizo A na hili haliko vyuoni tu hata mashuleni pia lipo

Kwahiyo tukisema eti tuangalie As za kwenye vyeti na hizo STDs basi hata hao nao tutasema wana akili tu

Maana hiyo ndiyo definition yako ya watu wenye akili

Ben Carson alipokuwa shule alikuwa kilaza wa mwisho darasani na kila mtu alimcheka
Ila cha ajabu ndiyo akaja kuwa one among the best Neurosurgeons in the world aliyeweza kuperform a successful surgery ya kutenganisha mapacha walioungana vichwa
 
This life needs money,wewe unadhani kiasi gani kinatosha?

Maana ni rahisi kusema hivyo,mna vihela,ila utakuta havijafika viwango vinavyotakiwa,halafu mpo hapa kuwasema vibaya wale walikua wanawapita darasani as if walishawatendea lolote baya

Tuambie kiasi gani cha hela unachokitambua kwamba wewe unacho kukufanya tukuite TAJIRI?

Tupe amount
Mkuu hao wanaowasema vibaya waliokuwa wanafaulu darasani ndiyo wana matatizo

Sisi wengine hatuko hapa kuwasema vibaya waliokuwa wanafaulu ila tu tunachosema ni kuwa akili za mtu hazipimwi kwa matokeo aliyokuwa anapata darasani

Maana kuna watu wengine huwa wanafaulu kwa kukariri tu ila wakishatoka nje ya geti la shule kichwani hakuna kitu

Na kuna watu wana IQ kubwa tu ila darasani walikuwa wanapata sifuri

Haijalishi mtu atakuwa na pesa kiasi gani ila tukubali tukatae hata uwe ulikuwa unafaulu vipi ila swali la mwisho utaulizwa je ufaulu wako umekusaidia nini katika kutatua changamoto zako za kila siku

Siyo lazima uwe billionaire kama kina Bill Gates au Jeff Bezos lakini kitendo cha kuwa na ujuzi wa kutafuta pesa ambazo zinakukimu katika maisha yako ya kila na zinakusaidia kutatuta changamoto zako mbali mbali basi hilo linatosha

Kuna watu wana hizo As ila kutwa kulalamika na kuilalamikia serikali kuwa haiwasaidii na wengine unakuta hawana pesa ni masikini tu au kazi wanazofanya haziendani na ufaulu wao na haziwasaidii kutatua changamoto zao

Inashangaza sana bongo eti mtu akipata A ndiyo ana akili
 
Unaona stori za kipumbavu hizi

Carson hakua mpumbavu kama unavyotaka kutueleza hapa

Carson alisoma kwa juhudi akapata nafasi ya kusoma YALE

Sas uliza YALE kuingia unatakiwa uingie kwa marks kiasi gani?

Unaongea vitu vya hovyo sana....

Carson was a smart kid,na alizipata A kisawasawa mpaka akaenda Yale inayochukua 2.5% ya wanadamu wote waofanya entrance exams kwao per year...

Unaongea smart people wa 1% top percentile,sio unaongea nonsense hapa.

Na hizo As kama zinauzwa kanunue utuletee hapa

Hii ni juhudi ya kipumbavu sana ku-discredit akili za watu

Sisemi eti hakuna wezi,wapo,ila usituambie wanafunzi wote wanaojitahidi nchi hii wamenunua As kwa pesa,basi matajiri tu ndio wangekua wanapata As,wakati ni opposite kabisa!

Punguza chuki bwana
Rudia kusoma mkuu acha kukurupuka
Alipokuwa shule Ben Carson aliwahi kuwa kilaza

Kadri alivyozidi kupanda level ndivyo akazidi kuongeza ufaulu
Na wewe kwa mujibu wako ni kwamba mtu aliyekuwa anapata A kuanzia shule hadi chuo ndiyo mwenye akili

Kwa mujibu wako ni kwamba mtu aliyewahi kupata C au D au F hana akili
Wakati kuna watu walikuwa wanapata hizo grades na leo hii wako kwenye positions kubwa maofisini na wanafanya vizuri

Point yangu ni kwamba akili za mtu hazipimwi kwa uwezo alionao darasani
Hao wanaonunua degrees ni mifano tu nimekupa
 
Oohh nilijua utakuwa na hoja kwenye hili
Kumbe umepinga kama kawaida yako

Siku hizi elimu inanunuliwa ukubali ukatae
Watu wanahonga mamillion kadhaa ili wao au watoto wao watengenezewe vyeti tena vyenye A

Wengine wanatembea na waalimu ili wapate hizo A na hili haliko vyuoni tu hata mashuleni pia lipo

Kwahiyo tukisema eti tuangalie As za kwenye vyeti na hizo STDs basi hata hao nao tutasema wana akili tu

Maana hiyo ndiyo definition yako ya watu wenye akili

Ben Carson alipokuwa shule alikuwa kilaza wa mwisho darasani na kila mtu alimcheka
Ila cha ajabu ndiyo akaja kuwa one among the best Neurosurgeons in the world aliyeweza kuperform a successful surgery ya kutenganisha mapacha walioungana vichwa
Mkuu Ben Carson hakua kilazaa Kama unavyofikiriaa aisee...Ni mwanzoni mwa Shule yakee ndo hakuperform vizuri Ila Mama akee akampa program ya kusoma vitabu daily...Baada ya hapo akawa best student haswaa...so ni mwanzoni kabisa tunaweza hakua serious na kupata mwongozo mzuri Jinsi gani Kama mwanafunzi inabidi awe...Ila jamaa Ni Gifted kweli kweeli!
 
Sijawahi kusikia definition ya ELIMU ni lazima uwe tajiri

Definition ya elimu ni kupata maarifa kuongeza chances zako za kutatua matatizo ya mazingira yako ya kila siku

Kuna watu wana bongo zenye kubeba information kwa wingi na faster katika kuzichakata

Na wengine uwezo hua hawana

Bahati mbaya fulani yupo kwenye uwezo mdogo wa ku-retain information na kuzichakata,haitakiwi aonee hasira mwenye uwezo mkubwa

Na pia kua tajiri ni uwezo wa kuziona fursa na kuzifanyia kazi na kutoa bidhaa au services people are willing to pay for....

Hakuna mahali definition ya kua tajiri ni lazima uwe na PhD 30,wala haijataja elimu,japo elimu ni nyenzo kama ilivyo panga au jembe au kisu,etc kukusaidia kazi
Kwahiyo tunarudi pale pale kuwa kupata A siyo kipimo cha kuwa na akili

Okay tuseme na vile vile hata kuwa tajiri pia siyo kipimo cha kuwa na akili
 
Mkuu Ben Carson hakua kilazaa Kama unavyofikiriaa aisee...Ni mwanzoni mwa Shule yakee ndo hakuperform vizuri Ila Mama akee akampa program ya kusoma vitabu daily...Baada ya hapo akawa best student haswaa...so ni mwanzoni kabisa tunaweza hakua serious na kupata mwongozo mzuri Jinsi gani Kama mwanafunzi inabidi awe...Ila jamaa Ni Gifted kweli kweeli!
Rudia kusoma mkuu acha kukurupuka
Alipokuwa shule Ben Carson aliwahi kuwa kilaza

Kadri alivyozidi kupanda level ndivyo akazidi kuongeza ufaulu
Na wewe kwa mujibu wako ni kwamba mtu aliyekuwa anapata A kuanzia shule hadi chuo ndiyo mwenye akili

Kwa mujibu wako ni kwamba mtu aliyewahi kupata C au D au F hana akili
Wakati kuna watu walikuwa wanapata hizo grades na leo hii wako kwenye positions kubwa maofisini na wanafanya vizuri

Point yangu ni kwamba akili za mtu hazipimwi kwa uwezo alionao darasani
Hao wanaonunua degrees ni mifano tu nimekupa
Ndiyo mkuu na hiyo ndiyo ilikuwa point yangu
Alipokuwa shule aliwahi kuwa kilaza ila kadri alivyozidi kwenda mbele ndivyo alivyozidi kuongeza ufaulu

Sasa jamaa anachosema yeye ni kuwa watu wenye akili ni wale wanaopata A tu darasani kwamba wale wanaopata C au D au F basi hawana akili
 
Takwimu ya kusema matajiri wengi Tanzania hawana shule sijui umeitolea wapi?

Naomba unipe hiyo takwimu na chanzo chake

Hii general assumption kua matajiri wengi hawajaenda shule ni ya kubuni tu.....

Makampuni BRELA yanakaribia 300,000 sasa,directors wake wote wana somekind of college education.....

Sasa sijui hiyo kua tajiri hajasoma takwimu mmetoa wapi?
Matajiri wa Tanzania mbona wanajulikana tu kina Bakhresa, Azania, Lake oil, GSM sijui ASAS na ukienda huko kwenye transportation ndio wengi hawa wanaotoka vyuo wanawaza kuajiriwa serikalini hatuna maarifa ya kufanya biashara na kama wapo ni wachache sana wengi waajiriwa na wakifika hapo wanadhani wamemaliza na sio kosa lao elimu yetu Tz haitujengi, ndio maana unasikia siku hizi wanasiasa wanasema mjiajiri msisubiri kazi kupewa hali ya ajira Tz mbaya.
 
Takwimu ya kusema matajiri wengi Tanzania hawana shule sijui umeitolea wapi?

Naomba unipe hiyo takwimu na chanzo chake

Hii general assumption kua matajiri wengi hawajaenda shule ni ya kubuni tu.....

Makampuni BRELA yanakaribia 300,000 sasa,directors wake wote wana somekind of college education.....

Sasa sijui hiyo kua tajiri hajasoma takwimu mmetoa wapi?
Ndio maana hata bungeni kigezo ujuwe kusoma na kuandika tu unaenda kutunga sheria. Wale Maprofesa wakubwa ukija kuwaona hata serikalini wanajitoa ufahamu kwa hiyo watu wanaona na wanasema sasa hawa ndio wasomi wako hivi. Ukiona mtu katoka chuo kafanikiwa basi kaja kuendeleza kazi za family lakini wanaonza zero kama wako basi wakuhesabi waliokuja na mawazo mapya.
 
Takwimu ya kusema matajiri wengi Tanzania hawana shule sijui umeitolea wapi?

Naomba unipe hiyo takwimu na chanzo chake

Hii general assumption kua matajiri wengi hawajaenda shule ni ya kubuni tu.....

Makampuni BRELA yanakaribia 300,000 sasa,directors wake wote wana somekind of college education.....

Sasa sijui hiyo kua tajiri hajasoma takwimu mmetoa wapi?
Mtu anaweza kuwa director lakini kajiliwa na nani? Mimi sikupingi kabisa unahitaji watu waliosoma katika nafasi kubwa lakini hata hapo ukija hapa Tz makampuni mengi wanakuwa na ma Director utakuwa sio watanzania ni wageni sasa hapo ndio inabidi tujiulize je hawapati nafasi kwa kuwa wanadharauliwa au elimu yetu haikidhi matakwa au hatuaminiki? haya ndio maswali ya msingi. Mtu akishasoma USA au Uk hawezi kuja kutafuta elimu kwetu tena lakini sisi ili kupata elimu ya kiushindani lazima uende nje ili upatate kukubalika. Tunashida kubwa sana katika elimu yetu tunafurahia ufaulu tu kwa % sio quality ya elimu.
 
Umenitajia watu eee,watu 6 tu...

Tanzania tupo watu milioni 60

Mkuu,usinitajie majina unayoo yaona kwenye TV kila,hizo sio takwimu

Takwimu nenda BRELA,nenda TRA,nenda halmashauri zote nchini upande wa leseni

Chukua takwimu zote hizo,uangalie madirectors wa hizo kampuni zote wana elimu gani,halafu ulete majibu hapa!

Wakijiajiri wote,nani atafanya kazi kwenye hizo kampuni walizofungua?

Lazima kuwe na healthy balance ya waajiriwa na waanzisha makampuni....
Hata shilole ana shishi baby ni kampuni na yeye ni director, kuna watu wameshika majina BRELA lakini hujui wanafanya kazi gani. ukiacha wauza pombe Bia hakuna kampuni kubwa Tz. Na kampuni zote za simu wageni wameshika nafasi za juu kwa asilimia kubwa. Ni kama serikali unasikia kampuni alfu mpya lakini uhalisia huzioni. mtu kajisajili jina la kampuni labda ana Bus mbili and jiita CEO. Haya majina hayana maana yoyote Tz kila mtu director au CEO hata akiwa na duka la kushona au anauza vitenge. Kampuni zenye kuchangia nchi ni hao 6 na wengine wapo ila wadogodogo. Mo kampuni yake ya family nenda kaone wakubwa wote wageni.
 
Unaona results za kikundi kidogo cha watu 300,then unafanya spreading all the place nchi nzima

Fun fact kidogo tu,makampuni yanayoongoza kwa kufa ni yale ya watu hawakusoma

Wanaoongoza kuchukua mikopo benki na makampuni yao ni yale makampuni ya walisoma zaidi ya wasiosoma

Wanaoweza kurudisha mikopo kwa usahihi zaidi ya wengine ni wale waliosoma zaiidi ya waliosoma

Kampuni inayoongozwa na aliesoma zaidi ipo katika position ya kupata mkopo zaidi ya kampuni inayoongozwa na pumbavu ambae hajasoma

Go figure
Hakuna mtu mpumbavu ilo ni tusi, huwezi kumuita mtu kama Bakheresa mpumbavu, au yule mzee wa Oil com mpumbavu hawa watu wanapesa na wanakopesheka na bank yoyote sio za kibongo hata nje. Nitajie kampuni moja Tz ilianzishwa kwa mawazo mapya na mhitimu mmoja tu kibongo na ni kampuni kubwa TZ. Labda ipo lakini kwanavyojuwa hakuna.
 
Back
Top Bottom