johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rip Cpwaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii mkongwe sema currently alikuwa anajihusisha sana mambo ya IT kama sikosei ,kuna ile appl ya m paper sijui ndo wale smartcdes ndo nilikuwa namuona kwa sana...Cpwaa ni nani?, jina lake kamili, anaishi wapi, ni mkongo au mbantu, amefia WAP, kwa ugonjwa gan, taarifa umezipata wapi n.k
Ila action itadumu mileleEnzi zile nilipenda afanya collable na Mangwea
Haya magonjwa ya mfumo wa hewa yameongezeka sana...TAHADHARI!!
Cpwaaaa Noooo😭😭Msanii CPWAA ameaga dunia mapema alfajiri ya leo baada ya kulazwa kwa siku kadhaa.
CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la Park Lane akiwa na msanii mwenzake Suma Lee kabla ya kundi hilo kuvunjika mwanzoni mwa miaka ya 2000.
========
Msanii wa Bongo Fleva Cpwaa amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo Jijini Dar es salaam.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na baadhi ya Watu wake wa Karibu (Marafiki) na chanzo cha kufariki kwake inaelezwa kuwa ni ugonjwa uliomsababisha kulazwa kwa takribani siku 3 kabla ya Umauti kumkuta.
Wasafi Media tunatoa Pole kwa Familia ya CPWAA! na Watanzania wote kwa ujumla hususani kiwanda cha muziki wa BongoFleva. Mchango wa CPWAA kwenye muziki kamwe hautasahaurika .
View attachment 1679414
Dah what happened to this super talented guy?
6 IN D MaNi msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)
Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action
Alipata kuwa na sauti matata sana..
My favourite Track ni 6 In Da Morning huwa haikosi kwenye Majani Playlist zangu.Ni msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)
Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action
Alipata kuwa na sauti matata sana..