kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Mpeziii naomba nafasi nyinginee moja ya kibao matata sana video kuna kipande cha mama shenazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau na ngoma moja inaitwa Mmmh......shooting ilifanyika southKwa mujibu wa media za bongo msanii CPWAA, ameaga dunia mapema alfajiri ya leo baada ya kulazwa kwa siku kadhaa.
CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la ParkLane, akiwa na msanii mwenzake Suma Lee kabla ya kundi hilo kuvunjika,mwanzoni mwa miaka ya 2000, baada ya kutamba na kibao chao "Nafasi Nyingine".
View attachment 1679434
Tutamkumbuka ndugu yetu kwa Crank kali zilizoenda chuo kikuu ambazo hadi sasa bado hazijavunjwa rekodi,kama vile:
-Cpwaa ft ngwear and chege
-Problem
-Action ft MsTrinity,Ngwear na Dully
-Six in the morning.
Baby iam sooorrry( suma lee)Mpeziii naomba nafasi nyinginee moja ya kibao matata sana video kuna kipande cha mama shenazi
Kwanza hyo action ndo ilikua bonge LA song aiseeeNi msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)
Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action
Alipata kuwa na sauti matata sana..
Ndio HuyoBaby iam sooorrry( suma lee)
Kuna mwingine ana sauti nzito anaitika sorry sorry
Ndo huyu kaka?
Ndio Huyo
Sina kama kunamdau auwekeMkuu kama unao huo wimbo uweke hapa.
Nliuupenda sana huo wimbo..Ndio Huyo
Alikuwa anaimba muziki aina gani?
Alikuwa anaimba muziki aina gani?