TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kwa mujibu wa media za bongo msanii CPWAA, ameaga dunia mapema alfajiri ya leo baada ya kulazwa kwa siku kadhaa.
CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la ParkLane, akiwa na msanii mwenzake Suma Lee kabla ya kundi hilo kuvunjika,mwanzoni mwa miaka ya 2000, baada ya kutamba na kibao chao "Nafasi Nyingine".

View attachment 1679434

Tutamkumbuka ndugu yetu kwa Crank kali zilizoenda chuo kikuu ambazo hadi sasa bado hazijavunjwa rekodi,kama vile:
-Cpwaa ft ngwear and chege
-Problem
-Action ft MsTrinity,Ngwear na Dully
-Six in the morning.
Daah 6in the morning hahaha,Nafasi nyingine,Taifa la bongo ndani kuna noorah,Parklane,Complex na mchizi flan hivi mhindi sijui mzungu yule,hapa watoto kama Innocentindependent hawaelewi kinaongelewa kitu gani
 
Muwe mnatafuta vyanzo vya ugonjwa kabla ya kukoment.
Kwani nimonia imeanza leo?
Korona IPO ndugu zangu tusiache kuchukua tahadhari
Screenshot_20210117-101808.jpg
 
Back
Top Bottom