TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Cpwaa ni nani?, jina lake kamili, anaishi wapi, ni mkongo au mbantu, amefia WAP, kwa ugonjwa gan, taarifa umezipata wapi n.k
Msanii mkongwe sema currently alikuwa anajihusisha sana mambo ya IT kama sikosei ,kuna ile appl ya m paper sijui ndo wale smartcdes ndo nilikuwa namuona kwa sana...
 
Cpwaaaa Noooo😭😭
Pole kwa mama
Gone too soon rafiki
Pole kwa wote walioguswa na msiba.... wanaIFM 😭😭😭
 
Ni msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)

Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action

Alipata kuwa na sauti matata sana..
6 IN D Ma
Ni msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)

Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action

Alipata kuwa na sauti matata sana..
My favourite Track ni 6 In Da Morning huwa haikosi kwenye Majani Playlist zangu.

Rest Easy CP! Japo hajawahi kuelezea kirefu cha CP but i think he meant Computer Programmer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…