TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Huu ugonjwa wa kushindwa kupumua umepamba moto. Juzi bugando Nimeona CEO wa taasisi moja akiwa kwenye ventilator ni hatari. Alafu kwa ufupi huu ugonjwa wa kushindwa kupumua umetapakaa hatari.
 
Huu ugonjwa wa kushindwa kupumua umepamba moto. Juzi bugando Nimeona CEO wa taasisi moja akiwa kwenye ventilator ni hatari. Alafu kwa ufupi huu ugonjwa wa kushindwa kupumua umetapakaa hatari.
Kwenu umeua wangapi
 
Mi nlijuaga mshkaji sio mbongo maana anasound ki mbele mbele
 
Tumepokea habari za tanzia mda huu tumepoteza kijana nguli kwenye mziki wa kizazi kipya cpwaa alivuma na vibao vyake vingi toka kundi lake pamoja na sumalee na mpaka wana gawanyika bado alitoa ngoma kali sana kama action sliyo shirikiana na dullsykes, marehemu ngwea R.I.P broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…