TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Siku nikimsikia baba yangu amerudi nyumbani basi nitajua Koona imeisha au kupungua. Hali si hali toka katikati ya Novemba 2020. Mlonganzila, Muhimbili, Aghakan na Hindumandal ni hospital zenye kutoa huduma nzuri sana. Mpende jirani yako kama ujipendavyo wewe mwenyewe. Hii amri ni ngumu sana ila ukiitekeleza ni thawabu kubwa sana. Ogopa sana binadamu mdanganyifu.
 
Yeah alikuwa alazwa hospital moja na limashine la mvuke aliwekewa ila naona kiloki kiligoma kutoka! Jamani Corona ipo na hiyo nimonia wanayosema imempeleka basi changanya na zako.
ipo wapi?
 
Gharama ya kuongozwa na mpenda sifa ni kubwa sana, kila mtu ajisimamie kama yeye anavyokimbilia kijijini kila mambo yanapopamba moto huku akijisifu ameifukuza kwa maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…