Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Naona mziki wao na Jokate haukwenda mbaliNimemsikia clouds mida hii amesharudi anafanya mbishe mingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mziki wao na Jokate haukwenda mbaliNimemsikia clouds mida hii amesharudi anafanya mbishe mingine
Tafuta YouTube.. kipindi Cha salama na..alisema mwenyewe alipata 1 ya 7Hakuwahi
Alisoma IFM,kuikuta point 7 inasoma IFM kipindi hicho,hua ni point 7 iliyokua na kichaa,sio nzima!
Link za virusi hizo. Tumia boomplay:Waptrick Park Lane - Sema Ooh Mp3 free download
Park Lane Sema Ooh mp3 download free. Download Waptrick Park Lane albumswaptrick.com
Safi Sana umeandika vizuri ..jamaa amendika upuuziHujui hata kujenga hoja kilaza kweli wewe! Unaweza piga one ya 7 form four, six ukaenda fanya vibaya! Kuna mwamba alitoka na one ya 10 O level,six akatoka na 3 mbaya sana!
Msela akapiga remedial class, then akapiga Bachelor,msela aliweka record ya First Class moja hatari sana,akafanya CPA kila module alifanya single sitting,na siku ya Graduation ya NBAA alikua moja ya watu waliofanya vizuri sana,Auditing firm kubwa kubwa hua zinachukua wale vipanga,jamaa nae siku hiyo alikua mmoja wao,sema alitoa akaenda zake PSSSF now yuko ofisi ya Msajiri wa Hazina!
Za kuambia changanya na zako 😐Nimonia
Tulipanga na nani ?Mlipanga afe lini
Takwimu rasmi zinapatikana National Bureau of Statistics. ( yani hata kwa akili ndogo ambayo haijawa brainwashed (Kama hata hiyo ndogo bado unayo) unaamini kwamba tz ina fire proof ya ugonjwa huu? Au unaamini katika sera za kufukuza ugonjwa kwa maombi? Au ndo hupo kwenye lile kundi la kiusifu na kuabudu. ? Kijana fungua macho na akili au Ndio mzugo umekolea.?
Ile ngoma noma sanaaNamkumbuka kwenye kile kibao "action". RIP
Hakuwahi
Alisoma IFM,kuikuta point 7 inasoma IFM kipindi hicho,hua ni point 7 iliyokua na kichaa,sio nzima!
Nikisikia taarifa ya kifo moyo wangu unaogofya mno[emoji22][emoji22]
Pumzika kwa amani mwamba[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Hilo halipo
Hakuna aliepata 1.3 Sekondari halafu akaamua kwenda chuo kidogo kwa hiyari yake eti
Stop this nonsense
It is a myth,hakuna huu upumbavu
Alipata 1.3 akapta shida mbalimbali ndio maana mkamkuta huko,hakuna kwa hiyari,labda alifeli pahali
Mtu kapata 1.3 eti achague kwenda Nyerere College Kigamboni,nigga stop these lies!
1.3 kwenda chuo kidogo,huyo mwenye 1.3 kwanza akapimwe akili,anaenda ku under utilise his brain capacity
Achenigi kudanganya watu bwana...
Nikisema mtupatie proof hamna
Aliepata 1.3 akaenda chuo kidogo ni kwamba alidisco vyuo vikubwa ndio akaenda chuo kidogo,thats a fact
Tupe mfano mmoja tufanye debunking hapa!
Baba Chakorii we acha tu🥺🥺binti yangu kipenzi umenifanya nikumbuke story ya mama mmoja alikuwa na binti yake wa miaka 10 basi huyo binti aliogopa sana radi miaka hiyo ya 1800’s huko marekani
kwa bahati mbaya huyo binti alifariki baada ya kufariki mama yake alibuni kaburi lenye ngazi ambazo baada ya kufungua gate lililonyuma ya kaburi unashika chini alafu akawa anashuka chini wakati wa radi anasimama kwenye kadirisha humo kaburini anaanza kum comfort binti yake[emoji20]
Mkuu haya maneno makali sana.Of which the nigga is inherently not smart,he was smart then by fluke!
Regardless who cares alipata what.
Patupu kweli we jamaa, ukifaulu vizuri kwahiyo lazima usome UD...,! Kuna mdau namjua alipiga 1 ya 3(PCM) A- level , akaenda kusoma T.I.A course ya procurement, tena kipindi hiko wanatoa Advance diploma.MKuu
Yeyote anaweza ongea chochote
Nikikwambia hapa nilipata let say 1.7 F4 utanimini sababu tu nimesema?
Kasema yeye,nipe proof kwenye matokeo website ya NECTA,nipe link!
Hata kama alipata 1.7,ina maana F6 alizembea akafeli ndio maana mwisho wa siku katokea IFM
Of which the nigga is inherently not smart,he was smart then by fluke!
Regardless who cares alipata what.
Kabla hajasema kwenye Salama Na hizo habari zilikuwepo kabla wasanii wenzie walikuwa wanasemaMKuu
Yeyote anaweza ongea chochote
Nikikwambia hapa nilipata let say 1.7 F4 utanimini sababu tu nimesema?
Kasema yeye,nipe proof kwenye matokeo website ya NECTA,nipe link!
Hata kama alipata 1.7,ina maana F6 alizembea akafeli ndio maana mwisho wa siku katokea IFM
Of which the nigga is inherently not smart,he was smart then by fluke!
Regardless who cares alipata what.
Sifahamu habari za vyuo lakini vipi ikiwa alienda huko kwa kuwa Udsm hapakumtosheleza kwa kozi yake?Hilo halipo
Hakuna aliepata 1.3 Sekondari halafu akaamua kwenda chuo kidogo kwa hiyari yake eti
Stop this nonsense
It is a myth,hakuna huu upumbavu
Alipata 1.3 akapta shida mbalimbali ndio maana mkamkuta huko,hakuna kwa hiyari,labda alifeli pahali
Mtu kapata 1.3 eti achague kwenda Nyerere College Kigamboni,nigga stop these lies!
1.3 kwenda chuo kidogo,huyo mwenye 1.3 kwanza akapimwe akili,anaenda ku under utilise his brain capacity
Achenigi kudanganya watu bwana...
Nikisema mtupatie proof hamna
Aliepata 1.3 akaenda chuo kidogo ni kwamba alidisco vyuo vikubwa ndio akaenda chuo kidogo,thats a fact
Tupe mfano mmoja tufanye debunking hapa!
Mkuu what's the definition of being smart ?, kwa kazi zake alizofanya na jinsi alivyojiweka naweza kusema the guy was vert smart no even if he would have got all F in his schools days..., intelligence especially siku hizi ni vigumu sana kuipima kwa school examinations (unaweza ukawa mtaalamu wa kulenga paper) sio application ya kile unachokisema au thinking nje ya box...Hata kama alipata 1.7,ina maana F6 alizembea akafeli ndio maana mwisho wa siku katokea IFM
Of which the nigga is inherently not smart,he was smart then by fluke!
Regardless who cares alipata what.
Yote kwa yote uwezo wa akili/kukariri si vizuri sana kuupima kwa matokeo ya mitihani, kuna mtu aliniambia matokeo hutegemea hali ya mtahiniwa siku/kipindi chaa mitihani husika, vyeti ni makaratasi tuSi kweli
Hapo unadhani..sio reality
Kwa mawazo haya kugongana naomba uzi ufungweMkuu what's the definition of being smart ?, kwa kazi zake alizofanya na jinsi alivyojiweka naweza kusema the guy was vert smart no even if he would have got all F in his schools days..., intelligence especially siku hizi ni vigumu sana kuipima kwa school examinations (unaweza ukawa mtaalamu wa kulenga paper) sio application ya kile unachokisema au thinking nje ya box...