TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Aaaah! Shida umeishakalili ndio hapo inapo anzia.. nikuulize kwanza Engineer ni nani au mtu aina gani ?
mkuu kabla sijakujibu Engineer ni nani na anafanya nini inabidi ufahamu huyu mtu anaupataje huo u-engineer na ndicho nilichokujibu kule juu
 
Kuwa engineer haikuitaji kwenda kusoma course flani. Ni kama vile kuwa mfanyabiashara haikuhitaji kwenda kusomea biashara. Ndio maana nilitaka nikuvute kwenye origin ya ilo neno kwanza
 
Najua unapoelekea mkuu ni lazima kuwe na vigezo vya kupewa hii kitu ambavyo watu walikubaliana
 
The word engineer (Latin ingeniator[3]) is derived from the Latin words ingeniare ("to create, generate, contrive, devise") and ingenium ("cleverness").
Kwahiyo kwa msingi wa hii origin ya hili neno unataka kusema kwamba mtu aliyesoma IT ana-create?
 
Unaowajua hapa tanzania wanaitwa ma Engineer wame create nini ? Hadi ukatae kwamba IT hawa qualify kuwa ma IT Engineer
 
hili swali lako ni mtambuka,technology huku bado ni duni kulinganisha na dunia ya kwanza so unaweza usione kama wanafanya hicho unachokitarajia lakini pia haya majengo, madaraja, umeme mpaka hapo ulipo, mawasiliano unaadhani ni wahandisi wa nje pekee ndo wanafanya?

Mkuu kuna mstari mwembamba kati ya sayansi na uhandisi lakin bado hujanishawishi IT awe engineer kwanza hata vyuoni wanaosoma Engineering kuna ya course lazima mfanane bila kujali ni kada ipi ya uhandisi, sasa umeona wapi IT chuo anasoma course ya workshop ama Eng drawings. Kwanza hata hesabu tu iko tofauti, IT hawasomi Engineering math.

Hizo course zote nnazokutajia ni tools muhimu kumuandaa Eng ku-create au ku-build kama ilivyo kwenye hiyo origin/definition yako
 
Umekalili tu, IT Engineer kibao tumefanya vitu vikubwa sana kwenye ma bank na makampuni ya simu.. endelea kumeza
 
Mzee Computer Engineer ni package, anaweza kufanya unachofanya mtu wa IT na computer science huko makazini lakini kinyume chake ni uongo. Mfano mdogo tu ni kiwandani ambapo labda anahitajika Instrumentation Engineer, hii nafasi anaweza kufit computer Eng kwasabu anajua umeme anajua electronics hata industrial instruments pia lakini kamwe hii nafasi hawezi kupewa mtu wa IT au computer science atachoma kiwanda
 
hili swali lako ni mtambuka,technology huku bado ni duni kulinganisha na dunia ya kwanza so unaweza usione kama wanafanya hicho unachokitarajia lakini pia haya majengo, madaraja, umeme mpaka hapo ulipo, mawasiliano unaadhani ni wahandisi wa nje pekee ndo wanafanya?

Mkuu kuna mstari mwembamba kati ya sayansi na uhandisi lakin bado hujanishawishi IT awe engineer kwanza hata vyuoni wanaosoma Engineering kuna ya course lazima mfanane bila kujali ni kada ipi ya uhandisi, sasa umeona wapi IT chuo anasoma course ya workshop ama Eng drawings. Kwanza hata hesabu tu iko tofauti, IT hawasomi Engineering math.

Hizo course zote nnazokutajia ni tools muhimu kumuandaa Eng ku-create au ku-build kama ilivyo kwenye hiyo origin/definition yako
Ukisha zamia sana kitaa ndio utajua hayo yote unayosema hayamfanyi mtu kuwa engineer. Nikuambie Mimi nimesoma Mechanical Eng, na nimesoma degree ya IT . Ila kwakua kuna mfumo wa ki ajira una limit watu.. kama CIA wanatambua kuwa kuna IT Engineer wewe ni nani upinge hapa bongo 😀😀😀😀
 
Mzee Computer Engineer ni package, anaweza kufanya unachofanya mtu wa IT na computer science huko makazini lakini kinyume chake ni uongo. Mfano mdogo tu ni kiwandani ambapo labda anahitajika Instrumentation Engineer, hii nafasi anaweza kufit computer Eng kwasabu anajua umeme anajua electronics hata industrial instruments pia lakini kamwe hii nafasi hawezi kupewa mtu wa IT au computer science atachoma kiwanda
Ujanielewa naona, sizungumzii majina au title ambazo hazina kitu ndani yake.. nazungumzia Engineer harisi sio hao engineer majalala. Instrumentation Engineer mtu yeyeto anaweza aka attend training na akawa.. sio lazima wa computer au electrical
 
Ukisha zamia sana kitaa ndio utajua hayo yote unayosema hayamfanyi mtu kuwa engineer. Nikuambie Mimi nimesoma Mechanical Eng, na nimesoma degree ya IT . Ila kwakua kuna mfumo wa ki ajira una limit watu.. kama CIA wanatambua kuwa kuna IT Engineer wewe ni nani upinge hapa bongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Napata shida kuamini kama we ni Eng afu unashindwa kuielewa ishu ndogo namna hii, huyo IT Eng wa CIA anaweza akawa ni Computer Eng au Telecom Eng afu ukute kapiga hizo CCNA,CCNP nk...period
 
Ujanielewa naona, sizungumzii majina au title ambazo hazina kitu ndani yake.. nazungumzia Engineer harisi sio hao engineer majalala. Instrumentation Engineer mtu yeyeto anaweza aka attend training na akawa.. sio lazima wa computer au electrical
Ndo uone tofauti kati ya science na engineering, kwa taarifa yako atakayeweza kufanya hiyo kazi ni mtu yeyote aliyesoma engineering afu ndo akapigwe kozi, huwezi kumpiga kozi IT afu akafanye hiyo kazi
 
Mtu yeyeto anafanya hiyo course. Kalili tu endelea kubaki na hizi fikra kuna ma Instrumentation Engineer kibao hawajasoma hiyo electrical wala computer nawajua na wapo katika position kubwa na kuaminiwa kuliko hata hao mnao waita ma engineer uchwara.. na wanapo toka vyuoni wana fundishwa na hao watu
 
Napata shida kuamini kama we ni Eng afu unashindwa kuielewa ishu ndogo namna hii, huyo IT Eng wa CIA anaweza akawa ni Computer Eng au Telecom Eng afu ukute kapiga hizo CCNA,CCNP nk...period
Huwezi kunielewaz kwasababu sijafungwa na mfumo. Nipo nje ya box.. na nimeajiri ma engineer kwa taarifa yako naongea kama muajiri wa ma engineer na ninaongea kama engineer lakini pia naongea kama IT engineer.. umeshikwa akili na mfumo mie akili yangu haijashikwa.. ni ngumu sana kunielewa maana huwa sipendi kuwaza kama wengi wanavyo waza
 
Nilirudi likizo kila ninapoenda mageti makubwa, wamejaa wahindi, waswahili wachache watoto hata hawatujui ma legend wenyewe wa kitaa.

Yani mtaa nilio chill na Justin Kalikawe na Galinoma leo nikienda naonekana mgeni!

Bora nibaki New York City tu.
Wadosi wamevamia upanga wamejaa utadhani ni mumbai
 
Napata shida kuamini kama we ni Eng afu unashindwa kuielewa ishu ndogo namna hii, huyo IT Eng wa CIA anaweza akawa ni Computer Eng au Telecom Eng afu ukute kapiga hizo CCNA,CCNP nk...period
Unarudi kwenye kuangalia title.. na ndio maana nilikuambia rudi angalia origin ya neno engineer. Kutoka kwenye origin ya ilo neno yeyeto anaweza kufanya kilichopo pale huyo ni engineer... awe na cheti au hana cheti.. ila atakosa cheti tu, kama nyie mnaoenda shule kutafuta haya makaratasi
 
Kwa mujibu wa media za bongo msanii CPWAA, ameaga dunia mapema alfajiri ya leo baada ya kulazwa kwa siku kadhaa.
CPWAA ambaye aliwahi kuunda kundi la ParkLane, akiwa na msanii mwenzake Suma Lee kabla ya kundi hilo kuvunjika,mwanzoni mwa miaka ya 2000, baada ya kutamba na kibao chao "Nafasi Nyingine".

View attachment 1679434

Tutamkumbuka ndugu yetu kwa Crank kali zilizoenda chuo kikuu ambazo hadi sasa bado hazijavunjwa rekodi,kama vile:
-Cpwaa ft ngwear and chege
-Problem
-Action ft MsTrinity,Ngwear na Dully
-Six in the morning.

Eeeeh bhana Problem 2008,
Miaka nikiwa form 3 nyimbo niliipenda Sana.
R.I.P Cp Cowan.
 
Back
Top Bottom