Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wana Jf Wasalaam
Wakati wa kuaga mwili wa Agness pale Leaders msanii Rammy Galis aliyewahi kuwa mpenzi wa Marehemu aliishiwa nguvu hadi kupelekea wasanii wenzie kumbeba lakini kilichoacha maswali ni kitendo cha msanii huyo kuendelea kushikilia kwa nguvu kitambaa chake as if kilikuwa na pesa huku yeye akiwa amelegea kabisa huku idris akimvuta kama mbuzi anaye kwenda kuchinjwa....
Hili kweli lilikuwa igizo au alikuwa ameishiwa nguvu kweli?
Msanii mwenzie Irene Paul ameoneshwa kukerwa sana na igizo lilofanywa na wasanii wenzie wakisaidiana na Idris Sultan.
Wasalaam