Yani hata miwani haikutikisika? Halafu alikuwa mbuzi au mtu?Irene Paul ndo nan?..kuna kuzimia na kutokujitambua kabsa alf kuna kuishiwa nguvu(miguu kukosa nguvu)lkn unajitambua...mm nahisi ndugu muombolezaji aliishiwa nguvu tu na hajazima
Kwahiyo nguvu zinaisha kwenye miguu pekee sio?Irene Paul ndo nan?..kuna kuzimia na kutokujitambua kabsa alf kuna kuishiwa nguvu(miguu kukosa nguvu)lkn unajitambua...mm nahisi ndugu muombolezaji aliishiwa nguvu tu na hajazima
Mbona possible kwasababu hata mm ilishawahi kunikuta wkt naaga mwili wa marehemu miguu ilkuwa mizito kwel kwelKwahiyo nguvu zinaisha kwenye miguu pekee sio?
Imebid nimtafute huyo lrene Paul nimeiona iyo post ila asilimia 90 ya comments zinamnanga huyo dada kwa alichopostYani hata miwani haikutikisika? Halafu alikuwa mbuzi au mtu?
Huyu alikuwa bwana ake kwa miezi 11 mkuu. Kama fantasy alishazitimiza and beyond. Anasema marehemu alimpelekaga kupima ngoma Sinza Palestina hivyo alimla hadi kaVu you know[emoji41]Watu wanamajonzi Masogange kafa kabla hawajatimiza fantasy zao. Yaani we acha tu