Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

Ha haaa haaaaaa umenichekesha sana hapo uliposema "Kama mbuzi anaenda kuchinjwa"

Lol aiseee
 
Ccm imewafundisha usanii
 
Kwenye msiba wowote wakiwepo hawa wehu wa bongo movie jua lazima tasnia ifanye kazi bila kuigiza kuzima wanasema msiba unakua haujanoga kabisa.
 
Hawa watu jamani wanakuwa kama hawana akili hivi ukishakuwa msanii ina maana unawehuka unakuwa mjinga kama Nguruwe?
 
That's a big joke[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…