Msanii Jackline wolper amekwenda kujitolea mahari tena?Safari hii akikwama atajioa?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi?
Ina semekana msanii Jack amekuwa na mchezo wa kwenda kujitolea mahari,hadi sasa amesha peleka mahari za wanaume zaidi ya saba kwa bibi yake....kiasi kwamba Bibi yake anaelekea kuchanganyikiwa......na amekuwa akitoa hela yake mfukoni na kugharamia mahari akifikiri ndio njia ya kuwanasa wanao kuwa nae.....
Hata kijana Brown Mauzo aliyemkimbia juzi kati alisha andaliwa mahari lakini akaingia mitini,bila kumsahau mmakonde ambaye alikuwa amejipanga kabisa kumuoa lakini kijana akanyakuliwa na mzungu wa bongo......
Leo hii tena Jackline amepeleka mahari kwa bibi yake ili aolewe.....

Lakini Wolper ana hitaji maombi maana amekuwa akikimbiwa na vijana.

Pengine angejaribu kwa Deogratius Kisandu(jokes)

Namnukuu hapa chini Wolper

Ndo wasanii wa bongo, yaani full vituko.
 
Ooohhh shida kutaka pesa zao hizi shida nipesa zao hizi nyepesi nyepesi!! Mamaeee .

Nani atakaa nakuvumilia ????? ...ivi yule demu alivyo mashine ,,niwakukosa mwanamme ???.

Shida hayupo mwanamme wakuvumilia .[emoji23]..

Nashukuru Kuumbwa Mwanamme ,, kwadunia yasasa kua mwanamme nisuala lakujivunia.
 
Back
Top Bottom