Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi?
Ina semekana msanii Jack amekuwa na mchezo wa kwenda kujitolea mahari,hadi sasa amesha peleka mahari za wanaume zaidi ya saba kwa bibi yake....kiasi kwamba Bibi yake anaelekea kuchanganyikiwa......na amekuwa akitoa hela yake mfukoni na kugharamia mahari akifikiri ndio njia ya kuwanasa wanao kuwa nae.....
Hata kijana Brown Mauzo aliyemkimbia juzi kati alisha andaliwa mahari lakini akaingia mitini,bila kumsahau mmakonde ambaye alikuwa amejipanga kabisa kumuoa lakini kijana akanyakuliwa na mzungu wa bongo......
Leo hii tena Jackline amepeleka mahari kwa bibi yake ili aolewe.....
Lakini Wolper ana hitaji maombi maana amekuwa akikimbiwa na vijana.
Pengine angejaribu kwa Deogratius Kisandu(jokes)
Namnukuu hapa chini Wolper

- wolperstylishOn my way to Kijijini kwetu..
Kwa my bibi
Mwali anaenda kwao
Sorry jaman msichambe sana am jus too excited najkuta naropoka tu..
Wish me luck
[HASHTAG]#MahariDay[/HASHTAG]