PostGE2025 Msanii Jimmy Mafufu: Ushiriki wa Wasanii kwenye kampeni Sio Kosa kwahiyo hatutaomba radhi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya kuomba radhi kwa yeyote.

Kauli hiyo ya Mafufu imekuja wakati ambapo mjadala mkali unaendelea katika mitandao ya kijamii, baada ya madai ya kuzorota kwa mauzo ya kazi za wasanii baadhi ya wadau wakihusisha hali hiyo na msimamo wa baadhi ya wasanii katika kipindi cha kampeni.

Wadau mbalimbali wa sekta ya sanaa wameendelea kutoa maoni yao kuhusu changamoto hizo, akiwemo msanii Rajabu Ibrahim ‘Harmonize’ pamoja na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza ‘Majizo’, ambao wote wametoa mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa biashara ya sanaa nchini.

Mafufu amesisitiza kuwa badala ya kulaumiana, sekta ya sanaa inapaswa kujikita katika mbinu mpya za kuongeza thamani ya kazi zao na kuboresha uhusiano na mashabiki

Mafufu amesisitiza kuwa badala ya kulaumiana, sekta ya sanaa inapaswa kujikita katika mbinu mpya za kuongeza thamani ya kazi zao na kuboresha uhusiano na mashabik
Hilo KENGE lilipata hela kwenye Tamthilia yake Azam lilipwa hela nyingi likajenga Nyumba tu Kubwa GOBA/MADALE ambayo ndiyo inampa jeuri...Huyo KENGE wateja wake ni Wamama wa wanaoangalia tamthilia za Azam ,hategemei views za yuotube.
 
Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya kuomba radhi kwa yeyote.

Kauli hiyo ya Mafufu imekuja wakati ambapo mjadala mkali unaendelea katika mitandao ya kijamii, baada ya madai ya kuzorota kwa mauzo ya kazi za wasanii baadhi ya wadau wakihusisha hali hiyo na msimamo wa baadhi ya wasanii katika kipindi cha kampeni.

Wadau mbalimbali wa sekta ya sanaa wameendelea kutoa maoni yao kuhusu changamoto hizo, akiwemo msanii Rajabu Ibrahim ‘Harmonize’ pamoja na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza ‘Majizo’, ambao wote wametoa mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa biashara ya sanaa nchini.

Mafufu amesisitiza kuwa badala ya kulaumiana, sekta ya sanaa inapaswa kujikita katika mbinu mpya za kuongeza thamani ya kazi zao na kuboresha uhusiano na mashabiki

Hana akili chawa mkubwa huyo
 
Sawa ni haki yenu kazi zenu mtakuwa mnalipwa na mbogamboga 32 ml

Bongo movie mimi binafsi siwakubali kitambo!
 
Wasanii wengi wa hii nchi wameshindwa kusimamia kazi za sanaa na badala yake wamegeuka na kuwa chawa
 
Huyu anafanyaga kazi gani kwenye sekta ya usaniii maana namuonaga kama mgaga wa Kienyeji
Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya kuomba radhi kwa yeyote.

Kauli hiyo ya Mafufu imekuja wakati ambapo mjadala mkali unaendelea katika mitandao ya kijamii, baada ya madai ya kuzorota kwa mauzo ya kazi za wasanii baadhi ya wadau wakihusisha hali hiyo na msimamo wa baadhi ya wasanii katika kipindi cha kampeni.

Wadau mbalimbali wa sekta ya sanaa wameendelea kutoa maoni yao kuhusu changamoto hizo, akiwemo msanii Rajabu Ibrahim ‘Harmonize’ pamoja na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza ‘Majizo’, ambao wote wametoa mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa biashara ya sanaa nchini.

Mafufu amesisitiza kuwa badala ya kulaumiana, sekta ya sanaa inapaswa kujikita katika mbinu mpya za kuongeza thamani ya kazi zao na kuboresha uhusiano na mashabiki

Msanii wa maigizo Jimmy Mafufu amesema ushiriki wa wasanii katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu haukuwa kosa, akibainisha kuwa walitumia haki yao ya kikatiba, hivyo hawana sababu yoyote ya kuomba radhi kwa yeyote.

Kauli hiyo ya Mafufu imekuja wakati ambapo mjadala mkali unaendelea katika mitandao ya kijamii, baada ya madai ya kuzorota kwa mauzo ya kazi za wasanii baadhi ya wadau wakihusisha hali hiyo na msimamo wa baadhi ya wasanii katika kipindi cha kampeni.

Wadau mbalimbali wa sekta ya sanaa wameendelea kutoa maoni yao kuhusu changamoto hizo, akiwemo msanii Rajabu Ibrahim ‘Harmonize’ pamoja na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza ‘Majizo’, ambao wote wametoa mitazamo tofauti kuhusu mustakabali wa biashara ya sanaa nchini.

Mafufu amesisitiza kuwa badala ya kulaumiana, sekta ya sanaa inapaswa kujikita katika mbinu mpya za kuongeza thamani ya kazi zao na kuboresha uhusiano na mashabiki

Pumbavu. Mnaomba msamaha gani wakati bado hamjaacha kuwa machaawa?
 
Back
Top Bottom