Msanii Joslin anauza chipsi Sinza Kumekucha

Msanii Joslin anauza chipsi Sinza Kumekucha

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Leo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law School of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Joslin akiwa anauza chips.

Joslin alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na nyimbo zake Perfume na Niite Basi. Pia aliwahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Msanii Duly Sykes uitwao Dhahabu ambamo ndani yake alishirikishwa pia Mr. Blue..

Big up sana kwa msanii Joslin kwa kuingia kwenye ujasiriamali. Binafsi nimefurahishwa sana na hustling spirit yako...

Pia hongera kwa kupata goli hapo LST kwa sababu ni sehemu ambayo kuna idadi kubwa sana ya wateja.
 
sidhani, hao wauza chips wanaingiza pesa kuliko waajiriwa. nafikiri pongezi za mtoa mada ni za dhati.
Of course ni jambo jema,halafu si ajabu kwasababu haya ni maisha na maisha ni kutafuta na sio kutafutana,.nilivyosoma heading kabla ya explanations niliona ni taarifa iliyokaa kiudaku sana,.kana kwamba joselin ni so special hawezi fanya shughuli kama hizo kwa jamii...ndio maana nimeiohoji heading tuu...pongezi za dhati na nyingi anastahili kabisaa.
 
Kwa nin mko aggressive hvo...i mean kila m2 anamuattack mwandishi...

Kwan juniors or young hustlers wa maisha watajifunzaje ...

Mi nadhan haina haja kumshamblia chukua kama somo..

Najisikia vibaya kama shabiki wake kufikia hatua hyo...

Na sijui ni kwa nini ni wasanii wakongwe ndio yanawakuta haya...

Mara dudu baya mwanae(wile) anauza chipsi pia shilawadu waliidaka...
 
Back
Top Bottom