LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Leo nikiwa napita mitaa ya Sinza kumekucha jirani na geti la Law School of Tanzania nimekutana USO kwa USO na msanii Joslin akiwa anauza chips.
Joslin alitamba sana miaka ya 2005 na 2006 na nyimbo zake Perfume na Niite Basi. Pia aliwahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Msanii Duly Sykes uitwao Dhahabu ambamo ndani yake alishirikishwa pia Mr. Blue..
Big up sana kwa msanii Joslin kwa kuingia kwenye ujasiriamali. Binafsi nimefurahishwa sana na hustling spirit yako...
Pia hongera kwa kupata goli hapo LST kwa sababu ni sehemu ambayo kuna idadi kubwa sana ya wateja.