Msanii Joti ana ya kujifunza kwa Martin Lawrence

Msanii Joti ana ya kujifunza kwa Martin Lawrence

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
758
Reaction score
555
685559-bbf47c0a2f7a0baf96469fee4f07878c.jpg

MARTIN F LAWRENCE.
685560-7ce6bf638713158e0665ac3eed8b492c.jpg

685561-afc185c02be6aef181100e2980a0d1bc.jpg

LUCAS MHUVILE a.k.a JOTI.

Msanii Joti amekuwa akionekana akiigiza nafasi mbalimbali na kuzimudu, kwa hilo namfananisha na Msanii genious wa USA, Martin F Lawrence aliyetamba na sitcom yake ya MARTIN, ambapo alikuwa akicheza nafasi mbalimbali na kuonyesha umahiri wake. Je kibongo bongo tunamuona Joti huko au ana mkanda wa kukaza?
 

Attachments

  • M Lawrence.jpg
    M Lawrence.jpg
    14.9 KB · Views: 89
  • Joti 2.jpg
    Joti 2.jpg
    13.2 KB · Views: 122
  • joti.JPG
    joti.JPG
    68.7 KB · Views: 89
Kweli
Lakini Martin anamzidi kipato sana
Kwa hiyo hapo Martin yupo juu tu


Lakini Eddy Murphy kamzidi Martin kwa watoto, jamaa anazaa na kila mwanamke anayelala nae. Sijui kafikisha ishirini sasa hivi au bado
 
Mkuu Martin bado hajamfikia Eddie Murphy kwenye nutty professor alicheza nafasi nyingi sana
Kaka hilo halina ubishi, Eddy Murphy ndio kiboko ya wote...ila tukubali Martin uwezo anao.

Martin mwenyewe anakubali, ila kibongobongo ningemuona na Joti anafanya zaidi ndio maana nikamcheki Martin.
 
Wanasema uzio ila Eneo lake linaonekana ni Dogo,wakivunja Uzio basi Barabara itapita karibu mlango.
Duh, basi changamoto.

Ila ni kama nilisikia Mkulu alisema chochote kuto ahueni...ila sijajua kama Joti naye anajumuishwa humo ama la.
 
Back
Top Bottom