JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
- Thread starter
- #41
Martin yule hata muvi za serious anacheza.Martin ni talented.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Martin yule hata muvi za serious anacheza.Martin ni talented.
Huwezi chekeshwa na lugha usiyoijua vyemaMartin Lawrence hajui kuchekesha
Kuna member aliniuliza kwanini nikamjibu naona umeamua kutukana boss.Huwezi chekeshwa na lugha usiyoijua vyema
Yule jamaa yupo vema sana, ana kipaji cha kipekee cha kuchekesha.Eddie Murphy namkubali sana
Unaweza kuchekeshwa na vitendo (actions).Huwezi chekeshwa na lugha usiyoijua vyema
Nakumbuka ilikuwa uzio tuHivi ni ghorofa lote au ni uzio tu?
Huyu hapa Mkali Chaplin aki direct muvi ya CITY LIGHTS mwaka 1931...miaka 30 kabla hatujapata uhuru.Jamami kuna mwanaume mmoja hapa dunian kwa comedy na hatakuja tokea milele. CHARLE Chaplain
Huyu hapa Mkali Chaplin aki direct muvi ya CITY LIGHTS mwaka 1931...miaka 30 kabla hatujapata uhuru.
sijui kama kuna mtu atamfikia huyu jamaa....hii ilikuwa namba tofaut kabisa yanHiyo ni namba ingine Mkuu.
Kama anavyosema Masudi Masudi...kuna aina ya Watu ambao huja mara moja kwa kipindi kirefu sana.sijui kama kuna mtu atamfikia huyu jamaa....hii ilikuwa namba tofaut kabisa yan