King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Watapewa fidia kwasababu maeneo ni ya kupimwa.Duh, basi changamoto.
Ila ni kama nilisikia Mkulu alisema chochote kuto ahueni...ila sijajua kama Joti naye anajumuishwa humo ama la.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watapewa fidia kwasababu maeneo ni ya kupimwa.Duh, basi changamoto.
Ila ni kama nilisikia Mkulu alisema chochote kuto ahueni...ila sijajua kama Joti naye anajumuishwa humo ama la.
Nadhani hata mimi nilisikia vivyo hivyo Mkuu.Watapewa fidia kwasababu maeneo ni ya kupimwa.
Basi hujui vichekesho...labda wewe ni shabiki wa movies za action, drama n.k.Martin Lawrence hajui kuchekesha
Mteja akija akiniuliza movie kali comedy siwezi kumpa ya huyu jamaa.Basi hujui vichekesho...labda wewe ni shabiki wa movies za action, drama n.k.
Umechagua zile movie alizo flop, na umeisahau "A thin line between love and hate"na mbona ni kawaida kwenye movie industry, sio lazima movie zote unazotengeneza zikidhi matakwa ya Watazamaji.Mteja akija akiniuliza movie kali comedy siwezi kumpa ya huyu jamaa.
National Security alizingua na Black Knight alizingua. Hizo unazosema kali yeye hakua star alikua supporting actor
Hata ile Big Mommas 3 ni nzuri, ni vile tu Watu walishazizoea.Big Momma [emoji3]
Yes, martin anajua aiseeHata ile Big Mommas 3 ni nzuri, ni vile tu Watu walishazizoea.
Martin ni kichwa aise.Yes, martin anajua aisee
Martin anajua.Martin ni kichwa aise.
Big mommas ipo vema tu.Hata ile Big Mommas 3 ni nzuri, ni vile tu Watu walishazizoea.
Umenena vema.Big mommas ipo vema tu.
Hapo cha cha.Pale unapolinganisha huduma za KITUO CHA AFYA na MUHIMBILI/KCMC/BUGANDO
Kwa hiyo ni Bugando na Zahanati ya kijiji.Pale unapolinganisha huduma za KITUO CHA AFYA na MUHIMBILI/KCMC/BUGANDO
![]()
MARTIN F LAWRENCE.
![]()
![]()
LUCAS MHUVILE a.k.a JOTI.
Msanii Joti amekuwa akionekana akiigiza nafasi mbalimbali na kuzimudu, kwa hilo namfananisha na Msanii genious wa USA, Martin F Lawrence aliyetamba na sitcom yake ya MARTIN, ambapo alikuwa akicheza nafasi mbalimbali na kuonyesha umahiri wake. Je kibongo bongo tunamuona Joti huko au ana mkanda wa kukaza?
Ajashauriwa amuige Martin 100%....anashauriwa ajifunze baadhi ya mambo kwani Martin ni mahiri na anao uwezo wa kucheza nafasi tofauti kama tunavyoona Joti anavyofanya.Akiigiza kama Martin Lawrence itabidi na jina abadilishe aitwe Martin Lawrence..
Martin ni talented.Ajashauriwa amuige Martin 100%....anashauriwa ajifunze baadhi ya mambo kwani Martin ni mahiri na anao uwezo wa kucheza nafasi tofauti kama tunavyoona Joti anavyofanya.