JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
KweliMkuu Martin bado hajamfikia Eddie Murphy kwenye nutty professor alicheza nafasi nyingi sana
Hata house of big mama pia.Mkuu Martin bado hajamfikia Eddie Murphy kwenye nutty professor alicheza nafasi nyingi sana
Kweli
Lakini Martin anamzidi kipato sana
Kwa hiyo hapo Martin yupo juu tu
Kaka hilo halina ubishi, Eddy Murphy ndio kiboko ya wote...ila tukubali Martin uwezo anao.Mkuu Martin bado hajamfikia Eddie Murphy kwenye nutty professor alicheza nafasi nyingi sana
Big Momas zipo part one mpaka three....na zote amezitendea haki.Hata house of big mama pia.
Pointi yangu ndio imeanzia hapo Mkuu, kwamba Joti ajiongeze na aangalie sana kazi za Martin atajifunza mengi.Joti kwa Martin!!!!! please watch your mouuuuth!!! achana na Bob White banaaa...!
Jerome alikuwa ni fyatu wa mjini.Jerome ni hatari!!
Hivi ni ghorofa lote au ni uzio tu?Vp Ghorofa lake lishapigwa MTAMA?
Wanasema uzio ila Eneo lake linaonekana ni Dogo,wakivunja Uzio basi Barabara itapita karibu mlango.Hivi ni ghorofa lote au ni uzio tu?
Duh, basi changamoto.Wanasema uzio ila Eneo lake linaonekana ni Dogo,wakivunja Uzio basi Barabara itapita karibu mlango.
Jamami kuna mwanaume mmoja hapa dunian kwa comedy na hatakuja tokea milele. CHARLE ChaplainMkuu Martin bado hajamfikia Eddie Murphy kwenye nutty professor alicheza nafasi nyingi sana
Ni kweli ila hapa tunazungumzia uwezo wa Mtu mmoja kucheza roles mbalimbali.Jamami kuna mwanaume mmoja hapa dunian kwa comedy na hatakuja tokea milele. CHARLE Chaplain