Msanii Joti ana ya kujifunza kwa Martin Lawrence

Mnamuongelea Joti yupi, huyu ninayemjua?
 
Martin Lawrence hajui kuchekesha
 
Basi hujui vichekesho...labda wewe ni shabiki wa movies za action, drama n.k.
Mteja akija akiniuliza movie kali comedy siwezi kumpa ya huyu jamaa.

National Security alizingua na Black Knight alizingua. Hizo unazosema kali yeye hakua star alikua supporting actor
 
Mteja akija akiniuliza movie kali comedy siwezi kumpa ya huyu jamaa.

National Security alizingua na Black Knight alizingua. Hizo unazosema kali yeye hakua star alikua supporting actor
Umechagua zile movie alizo flop, na umeisahau "A thin line between love and hate"na mbona ni kawaida kwenye movie industry, sio lazima movie zote unazotengeneza zikidhi matakwa ya Watazamaji.

Ile sitcom yake ya "Martin" bado inatajwa kama kati ya kazi za vichekesho za TV zilizofanya vizuri sana kwenye tasnia.

Movie ya Big Momas one na two amefanya vizuri, Ble streak, Nothing to loose, bad boys one na two ingawa hizo bad boys hazikuwa comedy, zilikuwa action zaidi.
 
Akiigiza kama Martin Lawrence itabidi na jina abadilishe aitwe Martin Lawrence..
 
Akiigiza kama Martin Lawrence itabidi na jina abadilishe aitwe Martin Lawrence..
Ajashauriwa amuige Martin 100%....anashauriwa ajifunze baadhi ya mambo kwani Martin ni mahiri na anao uwezo wa kucheza nafasi tofauti kama tunavyoona Joti anavyofanya.
 
Ajashauriwa amuige Martin 100%....anashauriwa ajifunze baadhi ya mambo kwani Martin ni mahiri na anao uwezo wa kucheza nafasi tofauti kama tunavyoona Joti anavyofanya.
Martin ni talented.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…