Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Nilishituka kufikiri ni hapa kwetu. Shetani yuko kazi huko brazil amevuna sana kwenye eneo hilo la kubadili jinsia.Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.
ALIZALIWA JIJINI JOSÉ Antonio VIANA De HOLLANDA , Jotta alifahamika kimataifa dhairi ni mwimbaji aliyeokoka mwenye nguvu ya kumuabudu MUNGU , alijulikana baada kushiriki katika shindano la muziki nchini Brazili lililoitwa Programa Do Raul Gil mwaka wa 2011.
Lakini amemwacha MUNGU na kuenenda na Ulimwengu . Ni jukumu letu sote kuendelea kumuombea na MUNGU AKUBARIKI SANA
Hii coment na aiyone MK254Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
Kuna wimbo unaitwa amazing grace huyu dogo aliumba vizuri sana ila tena ndo dah mabaharia wanampumulia!!
Dahhh!! Haka katoto alicover “amazing grace” “holy” nilikuwa napenda vile anaimba na lafudhi yake.Akiwa mdogoView attachment 2514105
Nimesikitika.Kuna wimbo unaitwa amazing grace huyu dogo aliumba vizuri sana ila tena ndo dah mabaharia wanampumulia!!
Dahh ana kibinda kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣