Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Aahh wewe weee kuna ile story hujaimaliziaga ujue. Umerudi sasa fanya basi kumalizia ile stori ya yule ndege.Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.