Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Tatizo hujui usemacho. Waislam wako bize kuwabadilisha misimamo wakristo kila uchao ili kuudhalilisha ukristo.

Akina CR 7 na wengine wengi mmewafanya hivyo.

Itabaki hivo daima, ukristo hautokufa hata mhonge benki ya dunia.
Kwahio upande ule una pesa mingi sio
 
Sikumpenda tangu namfahamu niliona anaimba kwa mashauzi acha aendelee kupumuliwa
 
Wanaume tumeumbwa mateso, thus wengine ujibadili Ili kukwepa majukumu
 
Kizazi cha SAsa ndo tunashangaa kijacho yatakuwa ya kawaida nusu ya wanaume watakuwa hawana speaker maadamu Hadi papa ameruhusu ni hatari kabisa.
 
Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.

ALIZALIWA JIJINI JOSÉ Antonio VIANA De HOLLANDA , Jotta alifahamika kimataifa dhairi ni mwimbaji aliyeokoka mwenye nguvu ya kumuabudu MUNGU , alijulikana baada kushiriki katika shindano la muziki nchini Brazili lililoitwa Programa Do Raul Gil mwaka wa 2011.

Lakini amemwacha MUNGU na kuenenda na Ulimwengu . Ni jukumu letu sote kuendelea kumuombea na MUNGU AKUBARIKI SANA
Lucifer kampitia kwa sababu aliona balaa ambalo angeleta, so kamuwahi.
 
Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.

ALIZALIWA JIJINI JOSÉ Antonio VIANA De HOLLANDA , Jotta alifahamika kimataifa dhairi ni mwimbaji aliyeokoka mwenye nguvu ya kumuabudu MUNGU , alijulikana baada kushiriki katika shindano la muziki nchini Brazili lililoitwa Programa Do Raul Gil mwaka wa 2011.

Lakini amemwacha MUNGU na kuenenda na Ulimwengu . Ni jukumu letu sote kuendelea kumuombea na MUNGU AKUBARIKI SANA
Hata akijibadili jinsia hatakuepo na uwezo wa kuzaa. Na mtu mwenye Akili timamu na anayejielewa anapataje ujasiri wa kufanya mapenzi na mtu aliyebadili jinsia
 
Sema nimegundua hapa duniani huenda kuna miungu zaidi ya mmoja
Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu amekabidhiwa na MUNGU mkuu sababu dunia sio milele.
Dunia ni makao mafupi ya shetani na mwanadamu.
Baada ya mwanadamu kutenda dhambi bustani,akatupwa duniani ambapo tayari shetani na malaika zake walishatupwa kitambo.
Dunia ni sehemu ya mda mfupi ya viumbe vyenye uhai vilivyo muasi Mwenyezi Mungu.
Vimewekwa Ili vifanye toba.
Mungu alikuja duniani kwa kuuvaa mwili ( YESU Kristo wa Nazareth ) Ili azaliwe na mwanadamu ( Bikira Maria, bikira ni chombo kilicho safi, hakina najisi) KWA mfano wa wanadamu Ili aseme na wanadamu baada ya kuwahurumia wakiteseka na shetani (mkuu wa ulimwengu huu ) Ili wawe huru na dhambi, wafanye toba Ili Dunia itakapofika mwisho waingie paradiso. Uamuzi ni wako.
 
Back
Top Bottom