Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Huyu baba yake ni fala sana nahisi na yeye anagongwa. Yaani limeridhia kabisa mtoto wake wa kiume kuliwa kiboga fala hili, nikiliona napata hasira sana.

Mtoto wa kiume alikuwa vizuri kabisa amemharibu.
Wade kazingua mno.
 
Lawama zote kwa wanasayansi. Zamani ukizaliwa mwanaume ukitaka kua mwanamke ni kua 'anti flani' a.k.a shoga. Siku hizi tangu wagundue kubadilisha gender mwanaume anajibadilishia na kua mwanamke kabisa and viceversa
Transgenderism and Homosexuality vilikuwepo tokea Babeli na Sumeria za kale, wala siyo suala la sayansi.
Science is moral neutral, but People using it aren't...Guns do not kill people, people kill people....
 
Nawaza hapa hilo lizee ambalo mnaliabudu, yaani bila huruma lilivyokua linatesa katoto kwa kuchomekea dushe
Kama unaona wivu mwenzio wakati anagongwa tafuta basha huko kwenu kenya pande za Mombasa wamejaa na nyie ruksa kufihlwah papa kasema
 
Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
[emoji16][emoji16]
 
Sema nimegundua hapa duniani huenda kuna miungu zaidi ya mmoja

Miungu ipo mingi isiyoumba mbingu na nchi rejea yeremia 10:11 “Mtawaambia hivi, Miungu hiyo isiyofanya mbingu na nchi, hiyo itaangamia katika nchi, nayo itatoweka chini ya mbingu.”

Unachotakiwa kujua nikuwa yupo Mungu wa kweli aliyeumba mbingu na nchi.
 
huyu Yesu atarudi kweli au miyeyusho tu

Yesu harudi bali ilirudi roho ya kristo japo wengi bado hawajalijua hilo wakisubiria siku ya mwisho ambayo haipo. Kwani kusudi ni kuishi hapahapa juu ya nchi ufunuo 21:3, mika 1:2-4
 
Kwanini wale wanaojitoa kwa kutenda vema tangu wakiwa wadogo ndio hupatwa na matukio mabaya?
Ukimsoma Mathayo kuna sehemu YESU Alikuwa akiwaambia wanafunzi wake kuwa "duniani mnayo dhiki, lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokoka" kwahiyo naweza kusema matukio yote mabaya yanaowatokea watu wema wanapaswa kuyashinda, kwa sababu imeandikwa.
 
Kama vile alivyotuambia tukiingia chooni tutumie maji na si kingine, mwanaume ni kiongozi juu ya mwanamke, usidhulumu na wala usikubali kudhulumiwa, etc. Kama mtu ananiagiza kufanya haya na nk. Kufuata ni kumuabudu, acha tu nimuabudu.

Kwani hujui unatakiwa kutumia maji mpaka aje akwambie kaambiwa na Mungu akwambie hayo!!!
 
Wale wa imani nyingine wanatumia toilet paper mkuu,, sijui unajua wale wana swaga

Hata hao waimani nyingine wameagiza kujitakasa kabla ya sala kwa kutumia maji,au mchanga msafi[emoji16][emoji16].

Sasa kama maji hamna ukaambiwe uchague cha kuchambia,kati ya TP au mchanga utachagua kipi alifu???
 
Hata hao waimani nyingine wameagiza kujitakasa kabla ya sala kwa kutumia maji,au mchanga msafi[emoji16][emoji16].

Sasa kama maji hamna ukaambiwe uchague cha kuchambia,kati ya TP au mchanga utachagua kipi alifu???
Kwanza kabisa uwe na adabu mimi sio arifu,, pili sijibu maswali ya kitoto eti kama maji hamna utachagua nini mchanga au toilet paper!
 
Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
Hakuna sehemu kwenye Biblia kuna ruhusu ushoga. Nitajie kifungu?
Kuna wakristo (wanaofuata amri 10 za Mungu) na wakristo feki (wanaofuata matendo ya kidunia). Hapa watu huchanganya na kuona ni kitu kile kile.
Kumbuka Ukristo siyo dini ndiyo maana kuna madhehebu mengi (dini ni mpango wa mwanadamu). Unashangaa kuona makanisani wanafungisha ndoa ya jinsia mmoja? Mungu wala Yesu hana dini na yote wanayofanya ni chukizo kwa Mungu na si kila anayetaja jina lake lake basi ni wa Mungu. Hapana
Soma Biblia vizuri (Yameandikwa yote). Soma Ufunuo
Unakumbuka Sodoma na Gomora?
 
Back
Top Bottom