Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Sad and totally sad [emoji20]
Mwenye Enzi Mungu nakuomba umtoe kwenye jehanamu hilo jamani uwiii [emoji22]
 
IMG_2021.jpg
 
Inasikitisha sana kale katoto kalikojizoelea umaruufu kwa kuimba nyimbo za injili gospel akiwa mdogo miaka ya 2012 jotta ameweza kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.

ALIZALIWA JIJINI JOSÉ Antonio VIANA De HOLLANDA , Jotta alifahamika kimataifa dhairi ni mwimbaji aliyeokoka mwenye nguvu ya kumuabudu MUNGU , alijulikana baada kushiriki katika shindano la muziki nchini Brazili lililoitwa Programa Do Raul Gil mwaka wa 2011.

Lakini amemwacha MUNGU na kuenenda na Ulimwengu . Ni jukumu letu sote kuendelea kumuombea na MUNGU AKUBARIKI SANA
Waimbaji wengi wa kiume wenye visauti hivi huwa wanatilia mashaka sana. Kuna dogo mwingine alikua muimbaji mzr school fln hv, akiimba kama vile malaika yan. Kumbe dogo punga, akiwa kwao anavaa nguo za kike na akaenda mbali akawa anajipost mtandaoni baadae wakamtimua ile shule kwa scandal hzohzo, na ni TZ hapahapa.
 
Kama namuona shetwani akicheza Zumba huko aliko
 
Kumwabudu mtu ni hata kufata kila alichowaambia bila hata kutumia akili.
Kama vile alivyotuambia tukiingia chooni tutumie maji na si kingine, mwanaume ni kiongozi juu ya mwanamke, usidhulumu na wala usikubali kudhulumiwa, etc. Kama mtu ananiagiza kufanya haya na nk. Kufuata ni kumuabudu, acha tu nimuabudu.
 
Back
Top Bottom