Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

Wakristo munajambo lenu kwenye ushoga, haki ya mama.
Juzi tu huko marekani kuna muinjilisti gani sijui kapewa uchungaji ilhali ni shoga, leo tena muimba kwaya! aagh acheni hizo bhana.
Boss nchi za kikristo Zina uhuru wa kujieleza.
We hizi za kiarabu zitoe tu freedom uone mashoga watakavyotoka chini ya mashimo walikojificha.

#YNWA
 
Kuna siku nilikua nasikiliza hiyo nyimbo Hallelujah nikasema ivi huyu saiv atakua wapi maybe ni mtumishi mkubwa ngoja nimchungulie Instagram mwe nlichokutana nacho sijaamini macho yangu niliumia utasema nimemzaa Mimi
Hata mimi nimeumia sana nilikuwa nakafatilia sana,tumbo la uzazi limeuma kwakweli
 
Boss nchi za kikristo Zina uhuru wa kujieleza.
We hizi za kiarabu zitoe tu freedom uone mashoga watakavyotoka chini ya mashimo walikojificha.

#YNWA
So uhuru wa kunieleza ndo unaleta ushoga.

Kwa Taarifa yako nchi kiislam watu wana pumuliana sana sema sheria kali ndo zinawafanya wawe Hivyo
 
Inamaana umeleta habari huna uhakika nayo? Unaelewa maana ya kubadil jinsia? Ni kwamba mbupu zote zinatolewa unaelewa ka maku kadogo Tena na ki rubber ndani kuonesha hujawah guswa na unavunjwa bikra Kama kawaida
Unapata hisia pia?

Jamani Mungu wa ajabu sana.

Sasa huyu akiamua kutubu anasamehewa na anabaki na jinsia gani
 
Huko kwa wakina kampa papa si hata sande skuu vya miaka 3 mnapelekea moto....ukubwani ndo hayo ya moshi

Hako katoto ka miaka 9 kalimkosea nini mtume mpaka akaamua kukatesa kwa mishahawa
 
kwa kuwa alikuwa alikuwa rijali ndo mana aliwatafuna wanawake wote hao unaosema na sio hao tu,, hata wewe ukitaka anakupelekea moto, mana nyie si mnapenda kufihlwah mpaka mmeruhusu makanisani wanaume waolewe,,

Hako katoto ka miaka 9 kalimkosea nini mtume mpaka akaamua kukatesa kwa mishahawa
 
Kipi cha ajabu.kabla ya ujio wa sheria ya umri,hata hapa nchini zipo mila zilichumbia mimba achilia hio miaka 9.
Kuchumbia na kumuingilia ni vitu viwili tofauti.
Zamani mtoto alikuwa anachumbiwa lakini anasubiriwa hadi umri wa kuingiliwa ukifika ndipo anaanza kuingiliwa.Lakini sio kwamba waliwaingilia watoto wadogo.
Labda tu kama pana hoja ya kashfa.
Ujio wa elimu na sheria yaani modernization ndio umeyafuta haya, lakini hadi miaka ya 90 yalikuwapo hata hapa nchini

Hamna cha mila wala nini, wewe angalia katoto kokote ka miaka 9 kisa uwaze hilo lizee la miaka 50 lilivyokafumua papuchi, mnatia kinyaa aisei.
 
So uhuru wa kunieleza ndo unaleta ushoga.

Kwa Taarifa yako nchi kiislam watu wana pumuliana sana sema sheria kali ndo zinawafanya wawe Hivyo

Kwani mi NIMEANDIKA NINI na wewe umeandika nini?
😳😳😳

Haya bwana SIKU NJEMA.

#YNWA
 
Back
Top Bottom