Msanii Juma Nature atoa misaada mbalimbali kwenye hospitali ya Zakhem, Mbagala

Msanii Juma Nature atoa misaada mbalimbali kwenye hospitali ya Zakhem, Mbagala

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Kassim'Nature' ametoa misaada mbalimbali kwenye hospitali ya Zakhem iliyopo maeneo ya Mbagala jijini Dar.

Akizungumza na Clouds FM, alisema kuwa ameamua kutoa misaada hiyo kwa kuwa hospitali hiyo ipo katika eneo analoishi na yeye huwa anatibiwa hapo na kuona kuna mahitaji muhimu yanayohitajika kwenye hospitali hiyo.

Misaada aliyoitoa ni pamoja na vyakula, mashuka, sabuni na juisi mbalimbali na pia ametoa ushauri kwa wasanii mbalimbali kuikumbuka jamii kwa kutoa misaada.

attachment.php
attachment.php

Attachments

  • juma1-300x300.jpg
    juma1-300x300.jpg
    13 KB · Views: 1,618
  • juma-300x300.jpg
    juma-300x300.jpg
    10 KB · Views: 1,541
Aiseeee Kiblaaaaa,kumbe yupo huyu Mshkaji.

Yaani amepotea kwenye game kabisaaaaaaa,TZ kweli Noma

Mungu amsaidie na ampe baraka kwa msaada huu alioutoa mwezi mtukufu wa Ramadhan."AMEEN"

Kiblaaaaa,msalimie Babuuuuuuuuu Inspector harouuun,ukiwa na salim mbeep Luten Karamaaaaa kisha mjitathmini
 
Hivi na kenyewe bado kapo nilisha kasahau kabisa kale kashoo kake ka darlive katakuwa kalipata kahela kidogo
 
Aiseeee Kiblaaaaa,kumbe yupo huyu Mshkaji.

Yaani amepotea kwenye game kabisaaaaaaa,TZ kweli Noma

Mungu amsaidie na ampe baraka kwa msaada huu alioutoa mwezi mtukufu wa Ramadhan."AMEEN"

Kiblaaaaa,msalimie Babuuuuuuuuu Inspector harouuun,ukiwa na salim mbeep Luten Karamaaaaa kisha mjitathmini

Ila jf tukiamua kumrudisha kwenye chat haishindikani hata haichukui siku mbili!
 
JUMA NATURE KUMNG'OA MTEMVU

harakati zimeanza
 
Hili game ...hata sasa ikipigwa lazima uruke...hongera kibla
 
Jamaa anaanza kusaka kura sio...

Maana alitangaza kuwa na nia ya kuwania ubunge huyu...
 
Back
Top Bottom