Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Mambo magumu raundi hii kaona agraduate tu hamna kujifelisha kuendelea kupiga mzigo!!
nimeshangaa sana ka-graduate mwaka 2017 wakati kwa takribani miaka sita tulikuwa tunaambiwa anasoma huko uchina.

au alikuwa anasomea udaktari na upadre?.maana kusoma udaktari au upadre huchukua si chini ya miaka 5 hadi saba.
 


Mchukue kaka yako DAB akasome kwa style hiyo awe na vyeti full stop yeye kamaliza na cheti anacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…