Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Mambo magumu raundi hii kaona agraduate tu hamna kujifelisha kuendelea kupiga mzigo!!
nimeshangaa sana ka-graduate mwaka 2017 wakati kwa takribani miaka sita tulikuwa tunaambiwa anasoma huko uchina.

au alikuwa anasomea udaktari na upadre?.maana kusoma udaktari au upadre huchukua si chini ya miaka 5 hadi saba.
 
amechukua muda mrefu sana kusoma degree
siku hizi kuna smartest way of earning a degree by decresasing a time in school

you just enroll in a university
do some college level examination test and then transfer credits to your college
smart kid earn their degree in less than two years but smartest earn their degrees in couple of months

ushawahi kujiuliza kijana ana miaka 25 ila ashaua bachelor masters and phd?

juxx anitafute nimfundishe namna ya kusoma in a smartest way.........teh teh teh


Mchukue kaka yako DAB akasome kwa style hiyo awe na vyeti full stop yeye kamaliza na cheti anacho
 
Back
Top Bottom