Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Amesoma shahada ya nini
Ni Mtihani mwingine tusubir miaka saba kujibiwa
Hongera sana Juma jitihada hubomoa milima
 
Mkuu inakuwaje hiyo hebu twambie wote sio jux tu
 
Nimejikuta nakumbuka mashairi ya bwana mmoja hapa jijini.


"Saa hii Kuna zinga la bitoz linatuwakilisha China ka'balozi"


Hongera kwa kumaliza Elimu ya Juu.
 
Haya atuletee elimu yake huku tz tuifanyie kazi pongezi zake
 
Bidhaa zote toka China nnakuwaga na mashaka nazo
Anyways HONGERA zake
 
nimeshangaa sana ka-graduate mwaka 2017 wakati kwa takribani miaka sita tulikuwa tunaambiwa anasoma huko uchina.

au alikuwa anasomea udaktari na upadre?.maana kusoma udaktari au upadre huchukua si chini ya miaka 5 hadi saba.

wewe tatizo lako ni lipi? ulilipa ada?
 
Huyu mchizi niliwahi kuskia kwamba alipokuwa mwaka wa kwanza huko China, alikuwa anawaambia wanafunzi wenzie yeye ni black american hili kuepusha kudharauliwa.


Anyway hongera zake nyingi kwa kumaliza salama hicho alichokuwa anakisomea.
 
Jux
Itakuwa ana akili nzito kama mkuu wake wa mkoa , ch kushukuru kamaliza huenda alikuwa ana disco ,anarudia mwaka ,full sup
Jux amejitahidi saana kuweza kufanya muziki ,shule , hongera zake , Kuna wengine anang'ang'ania kumaliza shule mapema then anasota miaka mingi kutafuta kazi , bora ww ambaye ulifanya vitu simultaneously
 
mh! hawa wasanii wetu mara nyingi huwa hawaeleweke hapo ukute alikuwa anafanya shooting ya wimbo wake mpya ,yanakuwa kama yale ya yule mzee wa kupakwa mafuta mgongoni na makalioni. time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…