Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

Huyu mchizi niliwahi kuskia kwamba alipokuwa mwaka wa kwanza huko China, alikuwa anawaambia wanafunzi wenzie yeye ni black american hili kuepusha kudharauliwa.


Anyway hongera zake nyingi kwa kumaliza salama hicho alichokuwa anakisomea.
Basi jamaa Mjanja atakuwa amewakaza Sana mademu wa kichina , unajua tz atujulikane kiivyo kuepusa maswali mengi inabidi adanganye
 
Basi jamaa Mjanja atakuwa amewakaza Sana mademu wa kichina , unajua tz atujulikane kiivyo kuepusa maswali mengi inabidi adanganye

hiyo inawezekana kabisa

Lakini pia kuna kasumba moja ambayo ndio sababu hasa, vyuo vingi vya huko dunia ya kwanza wanafunzi wa kiafrika huwa wanadharauliwa sana na wanaoonekana si kitu kabisa.

Niliwahi kupewa shuuda na mwalimu wangu aliyekutana na hayo maswahibu wakati anachukua masters chuo kimoja huko Hamburg.
 
Cha msingi degree..age is jct a number
 
P.H.D ya computer science form six alimalizia MZUMBE kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…