Msanii Killy afunguka mazito: Wakati tupo Konde Gang hatukuwa na pakuishi

Msanii Killy afunguka mazito: Wakati tupo Konde Gang hatukuwa na pakuishi

Ibra ni mkataba tu unambana angeshasepa, maana kuvunja mkataba konde gang ni billion moja.
Imagine unamlaza msanii studio alafu akitaka kuondoka sharti atoe billion moja
Kwanini asipange na akale studio?
 
View attachment 2723828

Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia majani mengi aitwae harmonize akiojiwa xxl.

Nb: wakati tunawaambia haya mkatushambulia kuwa tuna chuki tunataka msanii awe mmoja tu hapa bongo.

Tanzania lebo ni moja tu WCB ogopa matapeli.
Dpw. Mrejeshe pesa za mwarabu hakuna cha lebo wala nini
 
Tanzania record lebel ni moja tu WCB.

Diamond ndie mtu pekee alieweza kusimamisha lebo ya mziki inayoeleweka.

Hata kina babu tale na salam hawajawai kuweza hilo. Diamond ndie amewabeba yeye kama yeye kuisimamisha WCB
Hili naliunga mkono mchana kweupe lakini tusimsahau salam sk naye ameweka mchango mkubwa hasa safari za nje.....
 
Huyo chalii si ana crown? Anaendesha crown kulala studio? Au ndo ndinga ya show off
Show off za kukodisha kwa masela, juzi kati hapa msela wangu katoa gari yake benz hizi E class kwa msanii mmoja hivi, kapewa laki 5 kwa siku kadhaa....msanii anaenda nayo studio, gym, saloon, na site.

Bongo showoff zinatuharibu sana.
 
Ila sallam kashindwa kumrudisha mjini mr nice, mond nyota imekubali tu, angeweza kumrudisha nice tungesema kweli mwamba meneja wa nguvu.
Sallam hataki kulima kwenye mawe huwezi ona jinsi Mr nice umri ulishamtupa mkono....
 
View attachment 2723828

Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia majani mengi aitwae harmonize akiojiwa xxl.

Nb: wakati tunawaambia haya mkatushambulia kuwa tuna chuki tunataka msanii awe mmoja tu hapa bongo.

Tanzania lebo ni moja tu WCB ogopa matapeli.
Usanii hauna faida yeyote kijijini kwetu tapeli ndio anaitwaga msanii. Hauwezi kulea familia na kufanya maendeleo kupitia usanii.
 
Usanii hauna faida yeyote kijijini kwetu tapeli ndio anaitwaga msanii. Hauwezi kulea familia na kufanya maendeleo kupitia usanii.
20230912_094843.jpg
 
Back
Top Bottom