Msanii Lady Jaydee atuhumiwa kuhamasisha matumizi ya Bangi kwenye wimbo wake

Msanii Lady Jaydee atuhumiwa kuhamasisha matumizi ya Bangi kwenye wimbo wake

ukweli ni kwamba Serikali inamuandama Jide kwakua amekataa kata kata kujiunga na siasa za CCM za maji taka. Ushahidi upo, kuna nyimbo za kipuuzi zaidi na za hovyo sana na hutakaa BASATA waongeee kitu
Mzee baba naona unaingiza siasa kwenye mambo hayana siasa Kama unataka siasa Kuna jukwaa lake kabisa.
 
Wameanza hao!! CCM bana kisa alikataa uzinduzi wa kampeni basi wemeanza figisu.

Basata ni hopeless kabisa.
 
Kazi kweli kweli Mkuu

Mimi nawajua watu Wanaotumia Bangi kama catalyst ya Kazi

ila Siwajui watu wanautumia Tigo kama Kichocheo cha kazi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tigo ni nyara ya serikali
 
Next Man Hakuna mtu anayeweza kuamazishwa kufanya ngono kwa kuimbiwa na msanii labda ana tatizo kichwani utaamazishwa ngono labda tu mwanamke kapita sehemu kavaa nusu uchi au kanga moko au kuangalia website za porno
Ni KUHAMASISHA Na Sio KULAZIMISHA

Wao wanaHAMASISHA yani wanatia Watu hamu ya kula Tigo, HawaLAZIMISHI Watu kula Tigo

Na Wap wanaoHAMASIKA kweli

Mfano; Vijana wengi wamehamasika kusuka viDread Huku Mjini wako weng Sana kama kina Diamond wanavyofanya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BASATA wwao jambo na huyo dada, kwani wao ku-'smoke weed one time' wameelewaje?
 
Penye ukweli tuongee ukwelikama utatafisiri kama siasa ni sawa ila mie ni mfuasi wa Jide sana na najua kile naandika
Jide sio mwanasiasa yeye mwenyewe aliwahi kusema hapendi siasa Wala hafuatilii na Wala Hakuna sehemu aliyolazimishwa kuipigia kampeni chama chochote na hao wakina diamond,Kiba,Rayvanny,Zuchu n.k hawajalazimishwa Bali wamelipwa na CCM ndio maana wapo kwenye kampeni.
 
Ni KUHAMASISHA Na Sio KULAZIMISHA

Wao wanaHAMASISHA yani wanatia Watu hamu ya kula Tigo, HawaLAZIMISHI Watu kula Tigo

Na Wap wanaoHAMASIKA kweli

Mfano; Vijana wengi wamehamasika kusuka viDread Huku Mjini wako weng Sana kama kina Diamond wanavyofanya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamu haiji kwa kuimbiwa Ina kuja kwa kuona mambo matamu mzee
 
Mbona Kuna Nyimbo Nyingi tuu zina hamasisha Watu kula Ndogo Hawajaziona hizo wameona Bangi tuu !?
Mfano; "Baby Papasa kichwaa Mjusi kafiri Nisafishe mtaro"
Mfano: "Watoto wa Mama wanacheza hadi kwenye matope"

Au kula Tigo sio kosa, kosa ni kula Bangi ??
Hao si wanakata viuno kwenye jukwaa la kijani, tatizo Judith hafanyi hayo mambo
 
Basata mnapigwa miti, bangi imewakosea nini katazeni na tumbaku niwaone wa maana.
 
Mbona Kuna Nyimbo Nyingi tuu zina hamasisha Watu kula Ndogo Hawajaziona hizo wameona Bangi tuu !?
Mfano; "Baby Papasa kichwaa Mjusi kafiri Nisafishe mtaro"
Mfano: "Watoto wa Mama wanacheza hadi kwenye matope"

Au kula Tigo sio kosa, kosa ni kula Bangi ??
Basata wapumbavu tu
 
Back
Top Bottom