Msanii Lady Jaydee atuhumiwa kuhamasisha matumizi ya Bangi kwenye wimbo wake

Msanii Lady Jaydee atuhumiwa kuhamasisha matumizi ya Bangi kwenye wimbo wake

Pamoja na kua mimi siamini uhalali wa mziki lakini huyu dada huwenda kitendo chake cha kukataa kushiriki/kutumbuiza katika kampeni za ccm kitamponza kwa njia moja au nyingine maana ccm wana chuki kama wanazi enzi za hitler.
Kumbe chokochoko zote amekataa kumtumikia kafiri
 
Mbona Kuna Nyimbo Nyingi tuu zina hamasisha Watu kula Ndogo Hawajaziona hizo wameona Bangi tuu !?
Mfano; "Baby Papasa kichwaa Mjusi kafiri Nisafishe mtaro"
Mfano: "Watoto wa Mama wanacheza hadi kwenye matope"

Au kula Tigo sio kosa, kosa ni kula Bangi ??
Tena Hawa ndio wamejaa...."wazee wa migodi hawagongagi hodi"...wangeanza nao
 
Kama tumefikia huku basi hakuna baraza la sanaa Tanzania ila kuna baraza la wenye kuangalia nyimbo zinazopendwa na wapenda maudhui ya kijinga na wanaohamasisha kulana kinyume cha maumbile/ngono na pombe!
 
Kabla ya kumfungia Lady Jaydee ni vizuri hao basata wangeanza na wale wote ambao ndani ya nyimbo zao wanaimba kuhusu ngono, ambapo ndio chanzo kikubwa cha magonjwa ya zinaa in general, particular ukimwi. Na kama hawatofanya hivyo basi ni wazi itakuwa ni mbinu ya kumdhoofisha Lady Jaydee ambayo imeandaliwa kwa maslahi ya wengine.
 
Mbona Kuna Nyimbo Nyingi tuu zina hamasisha Watu kula Ndogo Hawajaziona hizo wameona Bangi tuu !?
Mfano; "Baby Papasa kichwaa Mjusi kafiri Nisafishe mtaro"
Mfano: "Watoto wa Mama wanacheza hadi kwenye matope"

Au kula Tigo sio kosa, kosa ni kula Bangi ??
Labda hawajasikia malalamiko.
 
Sio Swala la Malalamiko
Kwani hawaoni !?Aloooh wako wengi Sanaa
Mara mia waimbe Mapenzi ya kawaida tuu

Hawajui wanakuharibu Jaona Mwisho wa Siku na Wewe utoe mgodi hahahh
Ha haaaaa daahhh !Mimi ni mzee mpya nashukuru nimevuka Rika hatarishi salama.
 
Kwani weed ina inamaanisha bangi???(marijuana /cannabis sativa?
 
Back
Top Bottom