Mzee baba naona unaingiza siasa kwenye mambo hayana siasa Kama unataka siasa Kuna jukwaa lake kabisa.ukweli ni kwamba Serikali inamuandama Jide kwakua amekataa kata kata kujiunga na siasa za CCM za maji taka. Ushahidi upo, kuna nyimbo za kipuuzi zaidi na za hovyo sana na hutakaa BASATA waongeee kitu
Basata yenyewe Inaongozwa na wanasiasa uchwara' ! Hivi hapa bongo kuna jambo haliendi bila hila za wanasiasa?Mzee baba naona unaingiza siasa kwenye mambo hayana siasa Kama unataka siasa Kuna jukwaa lake kabisa.
Tigo ni nyara ya serikaliKazi kweli kweli Mkuu
Mimi nawajua watu Wanaotumia Bangi kama catalyst ya Kazi
ila Siwajui watu wanautumia Tigo kama Kichocheo cha kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni KUHAMASISHA Na Sio KULAZIMISHANext Man Hakuna mtu anayeweza kuamazishwa kufanya ngono kwa kuimbiwa na msanii labda ana tatizo kichwani utaamazishwa ngono labda tu mwanamke kapita sehemu kavaa nusu uchi au kanga moko au kuangalia website za porno
Tigo ni nyara ya serikali
Ni KWELI ukizaliwa tuu hapa Wewe unamilikiwa na Jamuhuri ya Muungano waTanzania, JMT
Kila Serikali Dunia ina MAMLAKA kwa Watu Wake
Kama ikitokea mtu hataki aende Mars au Pluto
Penye ukweli tuongee ukwelikama utatafisiri kama siasa ni sawa ila mie ni mfuasi wa Jide sana na najua kile naandikaMzee baba naona unaingiza siasa kwenye mambo hayana siasa Kama unataka siasa Kuna jukwaa lake kabisa.
[emoji23][emoji23]Wewe kama unavuta Bangi sababu ya kuhamasishwa na Mtu au wimbo wa mtu una matatizo binafsi....,
Yah Mungereza wa BASATA ni Mataga way back namjua vema na nahisi ni 'mpenyezaji'.Basata yenyewe Inaongozwa na wanasiasa uchwara' ! Hivi hapa bongo kuna jambo haliendi bila hila za wanasiasa?
Jide sio mwanasiasa yeye mwenyewe aliwahi kusema hapendi siasa Wala hafuatilii na Wala Hakuna sehemu aliyolazimishwa kuipigia kampeni chama chochote na hao wakina diamond,Kiba,Rayvanny,Zuchu n.k hawajalazimishwa Bali wamelipwa na CCM ndio maana wapo kwenye kampeni.Penye ukweli tuongee ukwelikama utatafisiri kama siasa ni sawa ila mie ni mfuasi wa Jide sana na najua kile naandika
Hamu haiji kwa kuimbiwa Ina kuja kwa kuona mambo matamu mzeeNi KUHAMASISHA Na Sio KULAZIMISHA
Wao wanaHAMASISHA yani wanatia Watu hamu ya kula Tigo, HawaLAZIMISHI Watu kula Tigo
Na Wap wanaoHAMASIKA kweli
Mfano; Vijana wengi wamehamasika kusuka viDread Huku Mjini wako weng Sana kama kina Diamond wanavyofanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao si wanakata viuno kwenye jukwaa la kijani, tatizo Judith hafanyi hayo mamboMbona Kuna Nyimbo Nyingi tuu zina hamasisha Watu kula Ndogo Hawajaziona hizo wameona Bangi tuu !?
Mfano; "Baby Papasa kichwaa Mjusi kafiri Nisafishe mtaro"
Mfano: "Watoto wa Mama wanacheza hadi kwenye matope"
Au kula Tigo sio kosa, kosa ni kula Bangi ??
Basata wapumbavu tuMbona Kuna Nyimbo Nyingi tuu zina hamasisha Watu kula Ndogo Hawajaziona hizo wameona Bangi tuu !?
Mfano; "Baby Papasa kichwaa Mjusi kafiri Nisafishe mtaro"
Mfano: "Watoto wa Mama wanacheza hadi kwenye matope"
Au kula Tigo sio kosa, kosa ni kula Bangi ??