Msanii Langa afariki Dunia!

Haya matukio yananikumbusha ile movie ya "FINAL DESTINATION" who is next?!..... RIP LAnga.
 
R.I.P Langa....Clouds kama kawaida yenuuuuuuu mtamrusha sana ila ndo hivyo alipokuwa hai mlikuwa hamumrushi....kazi kwenu radio ya maombolezo ya wasanii..leo hata sport extra sickilizi
Ndugu yangu ungekuwa hapa nilipo ungekula bia mbili. Umenikuna kwa kutamka ukweli na hii radio yetu ya maombolezo.
 
Watu waitumie hii kama FURSA sasa,si ndo tabia yao

MwanaFatuma aandae 15% nyingine! So zitakuwa 30%,15% za ngwea na 15% za langa!

Sipati picha ya collabo la huko! Hapa langa hapa ngwea

RIP langa!


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Hapana ndugu yangu sina ID mbili humu na huwezi amani nimejiunga jana na leo hii ni memba,tatizo hutaki kuamini kwamba mi ni mgeni.tafuta uzi flNi ju jana nilishaur muwasaidie hao mateja kuliko kujifanya mnawajua wakifa kama hivi.uzi ulimuhusu Tid kutolilwa shoo huku ughaibuni alipokuja juzi,mi nilimona na hadi hotel alixofikia naijua na najua aliyemtapel
 
Dah lakini Langa hajafa kwa madawa alishaacha ni malaria, hapo ndo tujue kifo kinapangwa na Mungu mwenyewe siku ikifika
Ukitumia sana madawa na ukaacha. Mwili unakuwa very weak sana. Hata mafua yakikupitia unaondoka.
 
wenyewe wanaita FURSA ,ikitokea na wewe ndipo pa kutokea.
hawa jamaa clouds noma sana.
alafu hawapo humu jamvini,ungeona kina Gerald Hando wanavyodondoka humu na kujipendekeza kwao kwa mabosi wao.
 
Du si J3 nilimsikia akisema kuwa ameibiwa beat na Fid Q sasa yamekuwa haya
 

Mbona umekua mwepesi wa kukimbilia kwenye wall post za marehemu, huku ukiacha baadhi ya mashahiri yake yaliyoifunza kama si kuielekeza jamii. Ama kweli nimeamini "Binadamu wengi, ila watu wachache" by Langa. Na "ukitaka kumficha Mwafrika weka ujumbe kwenye kitabu"
 

lakni jamaa ni malaria mkuu co poda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…