Msanii Langa afariki Dunia!


kuna dogo anaitwa Ismail ndiye alietunga hilo jina la king'oko ni mdogo mama Salma
 
Once ur In always In...
Unafikiri kuacha poda ni sawa na kuacha mke au hawala?
poda nyoko,,,

hehehehe,najua ni kazi lakin ndo wajitathmini sasa ili waache japo ngumu ,mimi nimemshuhudia ndugu yangu unga ulivomtesa had anaingia kaburini
 
duh kweli mwaka huu kazi ipo.lakin jammaa si aliacha kula unga?au allirudia tena?
aliacha, kuna siku alikuwa katika interview na Sauda Mwilima wa star TV akasema kwamba ameacha kabisa tena akatoa wimbo wa kuwaasa wenzio nao waache, da rest in peace langa.
 
kuna dogo anaitwa Ismail ndiye alietunga hilo jina la king'oko ni mdogo mama Salma
Mkuu mimi staki kung'olewa kucha. asingekuwa ismail babuu asingekuwa clouds. si unajua ismail atakacho kiongea kwa shem kinapita bila kupingwa? shemeji na clouds damu damu. ndo maana Liz huwa anapita pale king'oko kusalimia!. hahahaaaa....!!! mkuu usitake ning'olewe meno na kucha bila ganzi. R.I.P. Langa. mia
 

sikujui kweli weye? :ballchain:
 
Hivi ray c mzima?
R.i.p langa kileo
lord eyez,daz baba, wanakuja
 
First time kumuona huyu mnyamwezi long time yuko form two alikuwa tozi sana katika show off za kila sunday pale slipway akiwakilisha loyola mimi na wanangu tukiwakilisha mary mary!years later nikakutana nae na kuchill nae mitaa ya kino ila this time kawa msela mbaya na nuru ya muonekano imepotea kapiga gwanda kama kawa ni ukweli usiojificha gwanda kaanza kuzigonga kabla ya dr slaa!!!!leo nasikia amevuta!dah...mnyamwezi alikuwa anaandika sana sema wabongo sijui nyimbo wanasikilizaga vipi kwani wachache tulikuwa tunamuelewa langa katika lyrics!RIP soldier langa
 
Rest In Peace Langa. Too sad.
Kweli kifo ni cha wote lakini ni vile hatujui siku tutakayoondoka. MUNGU akulaze mahali pema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…